lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,484
Dah umeongea mambo ya kweli kabisa najisikia simanzi,huzuni na naweza kububujikwa na machozi.(WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU) wamefumba macho juu ya hili.Lakini hawa watu si ndio ujifanya vinara wa kutetea haki za binadamu??
Juzi hapa Uingereza ilifanya usanii kwa kudai former double Agent wa Urusi alilishwa sumu,sasa nini kilifatia baada ya madai hayo potofu Trump alifukuza zaidi ya wanadiplomasia 30 wa Urusi,walishawishi Mataifa mengine ya magharibi kifanya hivyo, Trump hakuishia hapo aliwekea vikwazo Urusi kwa madai kwamba inakihuka haki za binadamu,yaani Trump anajifanya aliguswa sana na tukio hilo LA kuchonga tu kuliko Uingereza ambako jasusi alikuwa anaishi, mpaka leo Dunia haijawahi kuonyeshwa picha ya Jasusi akiwa amelazwa Hospitalini.
Sasa huyu Msaudia aliye kuwa anaishi na kufanya kazi Marekani kauwawa kikatiri kwa kutumia "CHAIN SAW" kakatwa vipande vipande ili kupoteza ushahidi, Trump anajua ukweli huo baada ya kutonywa na Uturuki lakini hapa anajifanya as if Ufalme wa Saudia hawahusiki moja kwa moja na mauuaji hayo, tukio hilo lingetokea kwenye Balozi za Syria saa hizi Trump na washiriki wake wangekuwa wamekwisha ishambulia Syria kwa kutumia ndege na makombola.
Afya, amani, furaha na PESA ni baraka kutoka kwa Mwenye Enzi Mungu walahisaudia ana nafasi kubwa sana nae yakufanya ushawishi wa usa upungue hasa kwenye dollar
maana saudia wamesema kama watawekewa vikwazo na usa,wataanza kuuza mafuta kwa kutumia yuan ya china,wataanza urafiki na iran,hamas,hezbollah na watapiga marufuku makampuni ya usa kule saudia
na vile vile wataanza kununua silaha russia na watawaruhusu kujenga military kwenye mji ambao upo karibu na red sea
kama hayo yote yakifanywa na saudia kwenye ishu ya oil trade us dollar itapoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa mno ikizingatiwa kwamba wauzaji wote wakubwa wa mafuta duniani isipokua saudia wameanza kuacha kutumia dollar kama vile venezuela,iran,russia
hapa trump inabidi atumie busara sana kulimaliza hili suala
Ni kweli kabisaLakini hawa watu si ndio ujifanya vinara wa kutetea haki za binadamu??
Juzi hapa Uingereza ilifanya usanii kwa kudai former double Agent wa Urusi alilishwa sumu,sasa nini kilifatia baada ya madai hayo potofu Trump alifukuza zaidi ya wanadiplomasia 30 wa Urusi,walishawishi Mataifa mengine ya magharibi kifanya hivyo, Trump hakuishia hapo aliwekea vikwazo Urusi kwa madai kwamba inakihuka haki za binadamu,yaani Trump anajifanya aliguswa sana na tukio hilo LA kuchonga tu kuliko Uingereza ambako jasusi alikuwa anaishi, mpaka leo Dunia haijawahi kuonyeshwa picha ya Jasusi akiwa amelazwa Hospitalini.
Sasa huyu Msaudia aliye kuwa anaishi na kufanya kazi Marekani kauwawa kikatiri kwa kutumia "CHAIN SAW" kakatwa vipande vipande ili kupoteza ushahidi, Trump anajua ukweli huo baada ya kutonywa na Uturuki lakini hapa anajifanya as if Ufalme wa Saudia hawahusiki moja kwa moja na mauuaji hayo, tukio hilo lingetokea kwenye Balozi za Syria saa hizi Trump na washiriki wake wangekuwa wamekwisha ishambulia Syria kwa kutumia ndege na makombola.
Dah umeongea mambo ya kweli kabisa najisikia simanzi,huzuni na naweza kububujikwa na machozi.(WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU) wamefumba macho juu ya hili.
[emoji123] [emoji123]Akiri - akili
Saudi ni USA
nothing will happen walahi
Ndio upeo wako ulipoishia hapo.China na Russia hawawezi kuwa global power hata siku moja mpaka dunia inaisha mpaka kiingereza kiwe lugha yao ya taifa.
.
Usinijibu na hoja ya Germany maana ntakufikiria uliishia grade 1 shule
Ndio mkuu, wewe unalipi lakuchangia?Ndio upeo wako ulipoishia hapo.
Kumbe kiongozi akiwa yuko focused,nchi inasonga. Kwa sasa Putin ameleta changamoto sana. Kwa sasa Russia iko vizuri sanakweli kabisa hapa trump lazima atumie akili ya kuzaliwa lasivyo saudi atakua chini ya mikono ya russia na china
na hii itakua ni huge blow to western countries,ila kiukweli global power ina shift east ward
wasipo wakaribisha russia leo ipo siku mbeleni watafanya hivyo