Saudi Arabia yafunga anga na mipaka yake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Desemba 20 hadi Desemba 27 hakutakuwa na ndege, meli au gari linalotoka kwenye maeneo yenye aina mpya ya #COVID19 litakaloingia Saudi Arabia.

Safari zote za ndege zimefutwa na mipaka imefungwa kwa nchi zote isipokuwa zile nchi ambazo hazijaonesha kuwa na aina mpya ya #COVID19.

Ndege zilizoko Saudia zitaruhusiwa kuondoka. Zuio hilo linakuja baada ya nchi nyingine kuweka zuio hilo baada ya COVID19 mpya kugundulika kwa mara ya kwanza kusini mashariki mwa Uingereza.

Shughuli za ndani zinaruhusiwa kwa kuzingatia miongozo ya afya kama kutumia vitakasa mikono, pia mikusanyika imeamriwa kutozidi watu 50.
 
Hii gonjwa ni man made project maana wameoona mishem yao ya kwanza haijatimia.

Watu wengi maarufu kama wacheza mpira,golf maderea wa magari ya mashindano, wanasiasa wanaugua na kupona kawaida tuu na wanarudi kwenye maisha ya kawaida. Huku maelfu ya watu wakifa kwa ugonjwa huo huo.

Sasa tunaambiwa kuna ugonjwa mpya wa covid 19 (covid 20) umeibuka na umeibukia uingereza wakati wa mwanzo uliibukia China.
Chanjo yake bado ina figisu,kuna nchi wamekataa kuitumia na pia kuna habari kua wanasiasa maarufu wanaopatiwa sio yenyewe ni geresha tuu ili wananchi waikubali.
 
Kama ni mchina mbona benefits ama hasara zinaonekana zaidi nchi za magharibi?
Cheki hii.
Screenshot_20201221-140642~2.png

This is from ke.nyatalk forums
 
Desemba 20 hadi Desemba 27 hakutakuwa na ndege, meli au gari linalotoka kwenye maeneo yenye aina mpya ya #COVID19 litakaloingia Saudi Arabia.

Safari zote za ndege zimefutwa na mipaka imefungwa kwa nchi zote isipokuwa zile nchi ambazo hazijaonesha kuwa na aina mpya ya #COVID19.

Ndege zilizoko Saudia zitaruhusiwa kuondoka. Zuio hilo linakuja baada ya nchi nyingine kuweka zuio hilo baada ya COVID19 mpya kugundulika kwa mara ya kwanza kusini mashariki mwa Uingereza.

Shughuli za ndani zinaruhusiwa kwa kuzingatia miongozo ya afya kama kutumia vitakasa mikono, pia mikusanyika imeamriwa kutozidi watu 50.
Duu...!!!aisee!!
 
Hii gonjwa ni man made project maana wameoona mishem yao ya kwanza haijatimia....
hii inaweza kasirisha ma preachers na manabii wetu waliotuambia wameoteshwa na mungu kua corona ni curse kutoka kwa mungu

hawa majamaa walitulisha conspiracy nyingi sana walifikia hatua ya kuishutumu china kua imelaaniwa na mungu kutokana na ulaji wa popo pamoja na kuchana misaafu ya kiislamu now how?

1608571400824.png
 
View attachment 1656191
Baba akiwa na maisha magumu hana kazi basi inawathiri hadi familia yake.
 
Back
Top Bottom