It seems the original plan of the killers was to ship the slain body of the late Khashoggi to Saudi Arabia after embalment hence the inclusion of an Autopsy Expert in the itinerary.
It's likely when the body of the deceased proved bulky for shipping, it's when they resolved to dismember it so as to ease the shipping.
Wazungu wanaangalia interest zao tu basiHao wazungu wataishia tu kupiga kelele ila hawana jipya hapo ndo unafiki wao utapoonekana
Hawa kutumia akili kutekeleza hili swala yani ka si wataalamuIt's bizarre how they planned to accomplish such a thing in a foreign country, and actually think they can get away with it..
We can argue it's probably a mind of a 33yrs old MBS but, what about those who surrounds him?!
I can't comprehend the Thought behind this.
Samahani lakini bro,hivi chanzo cha kifo cha huyu muandishi wa habari ni nini ?View attachment 898562View attachment 898567
Kufuatia kupotoea kusikojulikana kwa mwandishi wa the WP mwenye asili ya Saudia Jamal Khashoggi, kumetokea sintomfahamu ya mahusiano kati ya Saud Arabia na baadhi ya powerhouse countries in the World.
- Donald Trump on Saturday, " Severe Punishment" if Saudis are found to be behind his death.
- Saudia Arabia wakajibu, in case of Economic Sanctions from the US, " we'll retaliate with greater action.."
- Arab countries wanao Support Saudia ktk hili, Oman, Bahrain, Jordan, Palestine, Lebanon, U.A.E, Egypt.
- UK, France, Germany demands "Credible Investigation on Khashoggi's disappearance, light must be shed"
- US lawmakers, "If Trump doesn't do something on this, Congress will"
- International firms wapanga kujitoa toka high profile International summit, itayofanyika Riyadh mwisho wa mwezi.
It's Saudia Vs the World. Sijui nani atatoka kidedea...
View attachment 898566
Inaonekana alikuwa ana tumia njia mbaya kuikosoa serikali......Alikuwa mkosoaji wa Ufalme, moja ya sababu.
Sidhani kama huyu mfalme atakuwa hajui hii issue, huu mpango ulisukwa mahususi na mwanaye make marehemu Jamal Khashoggi amekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa kiimla wa Saudia.
Tatizo ni mafuta kuuzwa kwa dolaKwa hili msaudia hatoki yaani hata kipofu huwezi kumdanganya.... Kusema US anategemea Saudia kiuchumi sikatai Coz wote tunahitajiana hasa nchi zilizoendelea na zenye resources kama Saudia lakini HOW is US economy depends on SAUDI 's.. Kama ni kuhusu mafuta 2014 nikiwa chuoni kwenye somo moja la kuitwa international politics niliwahi kusoma kuwa US wana hazina ya mafuta ya kutumia for the following 60 yrs+ na bado walikua wakiendelea ku exploit kutoka nchi kama iraq, libya and so on. Hivi kwa hii miaka 60 hawezi akawa amejipanga kupata bwalo lingine la kunyonya?
Huu ni mtihani mwingine kwa nchi za magharibi has US ambapo unafiki wao utajidhirihisha.Saudia nao wajinga; wanaipa Iran ushindi wa mezani kizembe. How comes wanakana kuhusika na kupotea kwa Khashogi wakati kwa mara ya mwisho aliingia ubalozini kwao na hakutoka? Upuuzi kama huo walitakiwa waufanyie shithole countries na sio nchi kama Turkey.
Khashogi naye mzembe; kwa mazingira kama yale alikulije kwenda ubalozi wa aina ile bila tahadhari? Alishindwa vipi kuwa na escort ya watu wawili au watatu? Anyway, siku ikifika miti yote huteleza.
Mr Bone Saw...??? It's likely they applied the Electric Saw to disect the corpse of the deceased Khashoggi. The brutal Saudis."At least four of the alleged killers have ties to M.B.S.,...and anybody who knows Saudi Arabia knows that this brazen attack could never have happened without M.B.S.’s approval.."
I wonder how all this cry will (for sure) be an obstacle to Prince, as a heir to the Throne.
Media is going 100 on both Trump and MBS, a.k.a "Mr Bone Saw"
Opinion | A President Kowtowing to a Mad Prince
From this catastrophe it shows thatIt's bizarre how they planned to accomplish such a thing in a foreign country, and actually think they can get away with it..
We can argue it's probably a mind of a 33yrs old MBS but, what about those who surround him?!
I can't comprehend the Thought behind this.