Saudi Arabia na Vatican city

Unamuitaje mwenzio kafiri wakati wote maskini tena unakuta uyo kafiri kakuzidi vitu vingi...izi dini znapumbaza watu
 
Kwaio idd amin dada nae alikuwa gaidi..?
 
Mkuu kwa nini usitiririke zaidi?
 
lengo la kwanza la crusade ilikuwa ni kuukamata mji wa jerusalem,
hapa utaona nani hasa alianzisha vita,
mzungu alitoka ulaya kuja uarabuni kutaka kumiliki mji wa jerusalem.
 
lengo la kwanza la crusade ilikuwa ni kuukamata mji wa jerusalem,
hapa utaona nani hasa alianzisha vita,
mzungu alitoka ulaya kuja uarabuni kutaka kumiliki mji wa jerusalem.
 
Get to know mafundisho ya kiislam kuanzia kuanzishwa kwake.
Pia jifunze chanzo na maana ya boko haram pia ant baraka
Jifunze ndio uje ubishane
 
Kwa kukufungua bongo tu mleta mada ni kwamba Saudi a Arab ni nchi ambayo yeyote anaweza kwenda akiwa na tamaduni zake mke wa Trump sio wa kwanza kuvaa hivyo Saudi a Arab Lakini ndani ya Saudia Arabia kuna miji mitakatifu Ambayo ni Mecca huko hawezi kutia mguu akiwa kichwa wazi hata Trump hawezi kwenda kule kwani ni ajili ya muislam tu.Kuna tofauti kubwa kati ya Mecca na Saudia Arabia, Vatican ni sehemu ya kanisa/nyumba ya ibada hivyo ni lazima heshima iwepo labda nikuulize kwanini alijifunuka kichwani Lakini kanisani kwenu hamjifunuki kichwani
 
Mimi ni nani hata nimchukie mwingine?!

Unaweza kuniambia kwa nini MAGAIDI huitumia dini hii kama PANGO lao?!

Kwahiyo mkuu hata yule gaidi Timothy McVeigh aliyelipua kule Oklahoma alitumia dini ya Uislam? Naomba ufafanuzi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…