Nilisoma comments zote nilipoliona tu hilo neno nimecheka sana kumbuka kuwa hata nyinyi wenyewe mnaitana makafiriUngefananisha hivi ningekuona kidogo unafikirisha kichwa chako: ITALIA VS SAUDI ARABIA AU VATICAN CITY VS MAKKAH/MADINA
NOTE: Makkah na Madinah ndio sehemu takatifu na sio Saudi Arabia
NOTE2: Makkah na Madina haparuhusiwi kuingia kafiri yoyote mfano wako wewe mtoa mada
Adolf Hiltre enzi za ""Nazism"" aliuwa Jews zaidi ya 2 Millions lakini kwasabu alikuwa ni mkristo utaambiwa sio gaidi ila muislamu akiuwa hata mtu mmoja utasikia Gaidi huyoHakuna mkristo Gaidi
Ova and Out[emoji15]
Mkuu kuna watu unaweza ukawatambua kuwa kupitia majadiliano anaweza akafahamu kitu hata kama hajabadili msimamo wake. Na kuna wengine hata ukiwafahamisha kitu watakuja na mambo yasiokuwa na maana na itakuwa ni kupoteza mda na hakutakuwa na faida. Kiufupi, mambo yaliozungumzwa kwenye Quran kwa wakati huo hakuwa na mtu aliekuwa na Knowledge navyo. Pia katika Quran sura ya al-Israa 17:88 imetolewa challenge kwa mwanaadamu au kiumbe yoyote kutengeza Quran yake kama hii ilokuwepo. Binaadamu ni kawaida yetu kufanya errors, ndani ya kitabu hicho hakuna errors wala contradictions. Pia Allah aliahidi kuitunza Quran, leo Quran tunayoisoma ndio ile ile ilokuwa ikisomwa wakati mtume yupo hai, hakujaongezwa kitu wala kupunguzwa kitu.Mkuu chilibu mbona unamkimbia sana ndugu gemmanuel?
Mtendee haki angalau kidogo basi.
Kuna sehemu wenye nchi yao walilalamika kuwa wamedharauliwa?Basi avue zote kama hiyo ni sababu ya msingi. Maisha ni ustarabu na kueshimiana.
Angethamin vazi lao hata kwakiremba tuu angekuwa awapa hishima kubwa kuliko alivyo kuwa kichwa wazi.
Yani cjawah kuona watu wajinga ka waktistuuuu c hawa waroma ndo walimuuwa yesu af c ndo hawa wako Vatican mnawaabudu na masanamu yao yani dah wakristu moto unawahusu mmeshndwa kutumia akili
Mkuu achana nao hao hawajui hata historia ya dini yao kazi kushika mashairi ya kiarabu alafu wanayaita maneno ya Mungu.una compare Vatican na vitu vya kijinga.
Makka haisimami bila Mtawa mmoja jina Bi khadija ,spy aliyetumwa na kanisa catholic kuupika (reform) uislamu .
akiuua wanaume watatu kabla ya kuolewa na mtume.akiwa ndiye master plan ya safari zote za mtume.
Safari za kujifunza elimu ghali kwa wasabaeans.
leo wewe una thubutu kulishusha hadhi kanisa Catholic .kanisa lililo financial uislamu.
utakuwa zoba wewe.
Ulijuaje kama Adolf Hitler ni gaidi au kwa sababu jina lake ni Adolf ?Adolf Hiltre enzi za ""Nazism"" aliuwa Jews zaidi ya 2 Millions lakini kwasabu alikuwa ni mkristo utaambiwa sio gaidi ila muislamu akiuwa hata mtu mmoja utasikia Gaidi huyo
Akili zenu zmeshakuwa ""Twisted"" hamjitambui yani mmekuwa "block minded" !!! kazi kusikiliza nini wanasema Westerners
Mkuu ukipata wasaa nipatie hii habari ,kwangu ngeni kabisaHili mbona lipo wazi mkuu? Mimi nilikuja kulifahamu hili kwenye miaka ya 80 hivi.
Kipimo chenu nyinyi huwa mnaangalia Muislam akiua mnasema huyo ni gaidi lakini hata Adolf Hiltler naye alikuwa akiuwa Jews ktk Detention Camps zake alikuwa akikata mikono na miguu akiwa chinja alikuwa akiwauwa atakavyo lakini utasikia alikuwa ni Dictator na sio gaidi kwasababu tu ni Kafiri mwenzenu!!Ulijuaje kama Adolf Hitler ni gaidi au kwa sababu jina lake ni Adolf ?
Je angeitwa Hassan Hilter.
Ungesema ni muislamu .
Kwanza unelewa maana za dictatorship na terrorism ?Kipimo chenu nyinyi huwa mnaangalia Muislam akiua mnasema huyo ni gaidi lakini hata Adolf Hiltler naye alikuwa akiuwa Jews ktk Detention Camps zake alikuwa akikata mikono na miguu akiwa chinja alikuwa akiwauwa atakavyo lakini utasikia alikuwa ni Dictator na sio gaidi kwasababu tu ni Kafiri mwenzenu!!
Nafahamu vizuri sana dictatorship ilianza Ulaya na Founder wake ni BENITO MUSOLIN alikuwa kiongozi wa Italia kisha Adolf Hitler akakopi kutoka kwake akaanzisha mfumo unaoitwa NAZISM aliukopi mfumo wa FASCISM ambao ndio ulianzishwa na MusoliniKwanza unelewa maana za dictatorship na terrorism ?
Usikurupuke tu
Unaona sasa usivyojua halafu unatusumbua humu .Nafahamu vizuri sana dictatorship ilianza Ulaya na Founder wake ni BENITO MUSOLIN alikuwa kiongozi wa Italia kisha Adolf Hitler akakopi kutoka kwake akaanzisha mfumo unaoitwa NAZISM aliukopi mfumo wa FASCISM ambao ndio ulianzishwa na Musolini
Ugaidi hauna Exactly definition maana huwa unaelezewa kulingana na Itikadi tofauti ziliwa zimebase ktk Siasa, Dini, na Ideologia nyinginezo kwaiyo Ugaidi ulitaka kuotolea maana ina bidi uwe specific unabase ktk Itikadi gani maana kuna jambo wewe kulingana na mfumo wako wa Dini unaona ni Ugaidi lakini kwa Dini nyingine inakuwa sio Ugaidi
Ikiwa wameweza kuchonga sanamu wakaliita mama wa mungu wakalipa na mtoto, nae wakamuita mtoto wa mungu. Unategemea wewe muislam wakuambieje hawa manaswara ?Ninacho Amini mm Ugaidi ni Itiqad ya Mtu anaweza akawa ni Muislam /Mkristo hakuna dini inayofungamana na Fikra hizi za Kigaidi
Kwamfano Uislam ni dini ambayo iko mbali na Fikra za Kigaida sema watu wengi hawafahamu Mafundisho sahihi ya Uislam wao wanawaangalia Makundi Potezu kama Alshabaab , Boko Haram & ISIS hayo Makundi yako mbali na Mafundisho ya kiislam haya ni makundi ya watu wahuni na Waovu wanaofanya Ufisadi katika Ardhi kwasababu ya Ujinga walionao hawaja Soma Dini ni watu wajinga Hawana Hata Wanachuoni ( Islamic Scholars) wanao waunga mkono Bali hawa ndio wanaotoa Image Mbaya ya Uislam lakini Uislam uko Mbali kabisa na Makundi hayo
Mfano Mwingine Kule Africa ya Kati kuna kikundi Kinaitwa ANT-BARAKA hiki ni kikundi cha Kigaidi kinacho endeshwa na Wakristo Je kwakuchukulia Matendo yanayofanywa na Ant-Baraka na sisi tuseme Ukristo ni Dini ya Kigaidi?
Wakatoliki kwa propaganda wako vizuri. Wanatengeza theories na wanazitafutia fake evidence. Mtu anaye abudu sanamu definetly anamatatizo kwenye ubongo ya kiakiri. Sanamu halikudhuru wala kukuneemesha. Usiumize kichwa na manaswara.Vatican ni jumba la ibada
Saudia alienda kwenye palace
Huge difference
Embu wewe unayejiona unajua toa maana ya Dictatorship & Terrorism kisha utoe na Reference kisha toa at least short historical back ground ya vitu hivyo viwili?Unaona sasa usivyojua halafu unatusumbua humu .
Unatuletea mambo ya history za darasani hapa.
Unaelewa maana halisi ya dictatorship,ina maana pana .
Nyie watu mnashida sana, basi tu.
Wewe ndiyo uko gizani kabisa, tena usiendelee kupoteza muda kasome tena upyauna compare Vatican na vitu vya kijinga.
Makka haisimami bila Mtawa mmoja jina Bi khadija ,spy aliyetumwa na kanisa catholic kuupika (reform) uislamu .
akiuua wanaume watatu kabla ya kuolewa na mtume.akiwa ndiye master plan ya safari zote za mtume.
Safari za kujifunza elimu ghali kwa wasabaeans.
leo wewe una thubutu kulishusha hadhi kanisa Catholic .kanisa lililo financial uislamu.
utakuwa zoba wewe.
Crusade war n'jomba ilikuwa vita ndiyo lakini ilikuwa ni vita kwa ajili ya kujilinda au "defensive war" na haikuanzishwa na wakristo, vilisababishwa na wavamizi wa kutoka mashariki ya kati kwa maana ya waarabu na waislamu waliotaka kuiteka na kuibadilisha ulaya wakianzia na nchi zilizo pakana na Mediterranean, sasa labda nikuulize tu hata wewe unapovamiwa na wahuni nyumbani kwako wewe ukae kimya tu ukikunja mikono kuruhusu kichapo ilihali una uwezo wa kupigana???Bro haya ni mapito tu......hivi unaijua crusade war.......wale walitumia nini kama si dini kufanya mauwaji. Time will tell.
Eeeeeeeehh.... swali dume hiliHivi umewahi kujiuliza wewe ukipatikana vipi?? Unajua process zilizofanyika kuanzia utongozwaji wa aliekuzaa mpaka hekaheka za kupatikana wewe...