Saudi Arabia na Vatican city

ndo mjue waarabu c lolote kwao wanawaona ovyo tu na mafuta yenu cjui dhahabu
nendeni Europe muone hawa bulshit. wakiarabu na kihindi wanavyodharauliwa ni mijitu selfish na yenye roho mbaya unadhani ugaidi ni baati mbaya kuemerge kwao its how their
 
Uncompare Uislam na Kanisa ka Kijinga? Eti mtawa bi khadija....watawa wanaolewaga, wanazaaga watoto......

Hata kama alikua spy.....kanisa lilifaidika na nini kwa hizo story zenu za kubuni.

Uwe na adabu popoma wewe.
 
ndo mjue waarabu c lolote kwao wanawaona ovyo tu na mafuta yenu cjui dhahabu
nendeni Europe muone hawa bulshit. wakiarabu na kihindi wanavyodharauliwa ni mijitu selfish na yenye roho mbaya unadhani ugaidi ni baati mbaya kuemerge kwao its how their
Muwege mnasoma basi sio kila siku kutegemea habari za kubuni za CNN na ALJAZEERA. Magaidi mnawafadhili wenyewe kwa pesa zenu na sadaka zenu mnazokusanya makanisani. Tatizo hamsomi mmekaa tu mnafuata propaganda za kijinga.
 
Vatican ni jumba la ibada

Saudia alienda kwenye palace

Huge difference

Hujui chochote kumbe, kwani hapo Pope Francis na Trump walikuwa St. Peters Basilica au ofisini kwa Pope ambako ni tofauti kabisa na kanisani
 
Yani cjawah kuona watu wajinga ka waktistuuuu c hawa waroma ndo walimuuwa yesu af c ndo hawa wako Vatican mnawaabudu na masanamu yao yani dah wakristu moto unawahusu mmeshndwa kutumia akili
 
..Grisham added that Melania didn't cover her head with the customary headscarf while visiting Saudi Arabia because it was not required nor requested that she do so. Unlike local women, foreigners are not required to wear headscarves in the country. (But they still have to adhere to the nation's strict dressing code and wear a type of robe known as an abayawhen they are in public.)
 
πŸ˜€ kanisa lilo finance uislam sio? πŸ˜€ watawwzaji kufinance uislam ikiwa kanisa lenyewe limeundwa na mayahudi? πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mnajali sana vitu vya NJE kuliko vya NDANI ya roho.

No wonder, ni dini pekee iliyochaguliwa na MAGAIDI.

[HASHTAG]#Badilikeni[/HASHTAG] ... Sasa kulia lia wiki nzima huyo mama kutofunika kichwa kunakuongezea nini?!#

Hitler alikuwa gaidi wa kiislam alowaua mayahudi. Aliua wangapi vile? πŸ˜›
 
Hujui unachokieleza vizuri, au umejawa na hisia Kali juu ya imani yako. Tulia na utafakari vyema. Ugaidi ni kweli unajikita nyuma ya uisilamu hili lipo wazi. Lakini uisilamu si Ugaidi.
 
πŸ˜€ kanisa lilo finance uislam sio? πŸ˜€ watawwzaji kufinance uislam ikiwa kanisa lenyewe limeundwa na mayahudi? πŸ˜€ πŸ˜€
Catholic Church na wayahudi wapi na wapi. Kwanza wayahudi sio Wakristo.
 
Catholic Church na wayahudi wapi na wapi. Kwanza wayahudi sio Wakristo.
Wayahudi na wakiristo ni tofauti kweli, kwa sababu wao hawamkubali Yesu kwa njia yoyote ila. Kwaio wakaona ili kuwapotosha wafuasi wa yesu wakaanza uchakachuzi katika maneno ya Mungu ndio mkapata biblia ambayo madhehebu yenu huwa linachagua lipi la kueka na lipi la kuondoa kisha mnaita kitabh cha mungu πŸ˜€ kwa hapa mayahudi wamewaweza!
 
Unalifahamu bibliaya kikatoliki mkuu?
 
Gauni alilolivaa Saudi Arabia lilikua refu kuliko hilo la Vatican
 

Mkuu Ukubwa ni pamoja na Akili ilokomaa ambayo haiendeshwi na Mihemuko
Utashusha Muruwa wako Bure pasina kujua
Na walokuwa wanakuheshim wakaanza kuuona Upuuzi ulo kichwani Mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…