Saudi Arabia mbioni kufilisika

Hivi hazina ikikauka ndio inakuwaje?. Hata hapa Tz tuliwahi kuambiwa hazina umekauka.
 
Saudi kesha change Gia anagani anasema wale watakaokuwa wanaenda kuhiji ndio litakuwa pato lake kuu la uchumi likifuatiwa na Mafuta... so Hawawezi filisika... Haja ni sawa na Utalii pesa kibao .....
 
Sio Iran ndio No.1 Islamic State?

Zaidi ya waislamu bilioni mara tano kwa siku huelekeza vichwa Saudia wakisujudu ikiwemo hiyo Iran. Fikirisha ubongo wako kati ya Saudia na Iran ni yupi No. 1.
 
Yaa wameinvest ila kwa mafuta marekani sasa wanachimba zaid coz technological advancement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…