hii kitu haiwezekani kw jamii ya tanzania, acha kukurupuka
kwa wao saudia waliweza only kwa kutumia muamvuli wa dini na utamaduni wao ni mmoja kwamba hamna diversity kubwa, wote ni watu wa dini moja the same na culture
sasa utafanyeje hivi kwa nchi ya tanzania yenye diversity ya culture, mila, dini, na influence za kimaisha.
hem nipe majina ya kiasili ya watanzania?? yapoje, na kuna uhakika gani kua kweli ya tanzania na sio ya nchi jirani kama kenya na kongo???