Satanic living is on, beware

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,627
Hivi umeshatazama jamii ya kitanzania tunayoishi miaka hii ipoje jinsi hiki kizazi chetu kinavyozingua?!

Ni kwamba mfalme au mkuu wa malaika wa giza anafanikiwa taratibu kututoa kwenye jukumu la kuileta duniani ile bustani ya edeni tunafeli taaratibu sio kwasababu hatuna nguvu za kuifanya hiyo kazi ila ni kwasababu tunaamua kuwa dhaifu kukubali mfalme wa giza ashinde bila kujua ni usaliti kufanya hivyo.

Ngoja niwape viashiria kuwa tunamtengenezea mazingira ya kushinda ibilisi au mfalme wa giza kwa makusudi kabisa.
 
Ndo naanza sasa kumwaga semina ya bure bila sadaka......achana na hawa wahuni wanaojifanya wanafanya kazi ya MUNGU kumbe sadaka ndio mitaji ya kujitoa kwenye umasikini........
 
Hivi umeona ni jinsi gani mfumo wa maisha ya sasa unavyodharau familia ambayo ndio kiini au mwanzo wa taifa lolote hapa duniani...........?!Wavulana na wanaume wanaishi hawana matumaini na wakijua kuwa baadae hawatakuja kuitwa baba wa familia ambao watakuwa wanarudi jioni wakilakiwa na familia watoto na wake zao.........wanawake wasiojua kuficha maumivu kifuani wepesi wa kuchukua maamuzi ya kuvunja mahusiano kwa kufumania tu meseji ya mchepuko wakati mama yake alisamehe baba alipozaa na mama mwingine........?!
 
Unachotumia kinakufanya ufikirie unapoint ila ukweli you are hallucinating na ukiendelea nacho unachotumia psychiatric section of hospital inakuita
 
Ah, nlidhani ya maaana kumbe ndo ushaanza kwa kuwatukana masihi za Bwana, sadaka ni ibada kwa taarifa yako
 
Hivi umeshatazama jamii ya kitanzania tunayoishi miaka hii ipoje jinsi hiki kizazi chetu kinavyozingua?!

Ni kwamba mfalme au mkuu wa malaika wa giza anafanikiwa taratibu kututoa kwenye jukumu la kuileta duniani ile bustani ya edeni tunafeli taaratibu sio kwasababu hatuna nguvu za kuifanya hiyo kazi ila ni kwasababu tunaamua kuwa dhaifu kukubali mfalme wa giza ashinde bila kujua ni usaliti kufanya hivyo.

Ngoja niwape viashiria kuwa tunamtengenezea mazingira ya kushinda ibilisi au mfalme wa giza kwa makusudi kabisa.

u look satanic bro
 
Comrade you might have something vital to tell us. But you are presenting it in unfriendly way. There are people around here might change on cause of what you will deliver. Try to avoid ego-centric type of presentation as the main barrier of communication with your audience; Remember! A GOOD Sermon, Always goes into the ear, gets out into their lives and stays in their heart! Be blessed.
 
Sawa wadau......naomba kutengua kauli kama kunasehemu nimewakwaza......kisha tuendelee na semina yetu......nilikuwa bado naendelea kumwaga udambu.........haya twende sasa tunaendelea na semina......
 
Inakuwaje leo kwenye nyimbo mwanamke anaitwa bitch au hoe badala ya lady au miss........na watu ndio wanapigia kura nyimbo hizi kushinda tuzo.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom