Sata afanya kweli dola 56,000 kila mchezaji

Sata afanya kweli dola 56,000 kila mchezaji

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,764
Reaction score
9,679
Baada ya timu ya Zambia kunyakuwa kombe la AFCON serikali imemtunuku kila mchezaji $56,000(tsh 104,000,000). Sata oyee, zambia oyee?
 
Safi, Ingekuwa TFF makato lukuki, za uwanja (hata kama haukutumika), kamati ya ufundi, mfuko wa TFF, maafisa, ..... mchanganuo mreeeefuuuu... 95%... halafu wachezaji wanaambulia 3 Million
 
kwa nchi kama zambia kutoa kiasi kikubwa cha pesa hivyo wanaitaji pongezi!
 
Wabongo wanaapply politics kila kitu,hatuwez kuendelea km hakuna changes...
 
Back
Top Bottom