sasatel ni internet provider wako, kama unafanya configuration ktk outlook basi iwe exchange server, pop3 au smtp.. Hizo details utazipata kwa huyo anaekupatia hiyo huduma ya email na wengine ni lazima ulipie kama yahoo au hotmail ingawa kuna wajanza wanaweza fanya utundu. Gmail wao wana-offer hii kitu bure kabisa na details zote waweza pata ktk website yao