Sasatel na Simply Computers nawapa siku 60 na ndani ya siku hizo muwe mmenilipa pesa zangu na kuniomba radhi,kunilipa pesa zangu na kunipa fidia kwa kunipotezea muda na nishati yangu niliyopewa na Mungu,Kutoa fidia kwa watu wote mlio wasababishia matatizo kama yangu na kama haya au kati ya haya ayatafanyika basi safari mahakamani.
Naomba wana JF
1:-Maombi yenu
2:-Mnipeushirikiano wenu kufanikisha jambo hili ili kuondoa usumbufu kwa wananchi
3:-Kama umepata matatizo yoyote katika kampuni tajwa hapo juu basi ungana nami katika huu mpambano
4:-msaada wa kisheria na mawazo na
5:-mengineyo
Hivi wewe umejiunga leo na leo leo unaanza kumwaga upupu kwa kukuruka........duh,kwani unakimbizwa mkuu,elezza kitu kwa ufasaha tukuelewe tukupe msaada wa mawazo. Sasa wewe ni kulalamika tuuuu kama mtoto wa kike bila kueleza sababu...shit!!!