Sasatel internet connection

Sasatel internet connection

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,327
Reaction score
5,601
Wakuu nina kifaa ambacho kinatakiwa kuwa kwenye net muda wote. Kwa bahati mbaya ninapata net toka sasatel. Ninapokuwa nyumbani huwa nina-share na Laptop yangu ambayo huwa naiungunganisha na hicho kifaa kupitia Internet sharing. Nikitoa huwa mawasiliano yanakatika, Ombi: Hivi inawezekana kutumia cable ya USB to RJ45 kuunganisha simu na kile kifaa mojakwamoja? kifaa kiko cofigured kwenye DHCP..... cable tayari ninayo kila nikiweka hata card iliyopo kwenye kile kifaa haiwaki. Nifanyeje wakuu???
 
Bado nasubir toka kwenu wataalam
 
Breaking News:Sasatel yafa Rasmi.
Noma sana kuna mshikaji flani namjua aliacha kazi kwa mbwembwe akaenda Sasatel nadhani na yeye atakuwa anapumulia mashine,vijana wengi wanapenda sana maendeleo ya harakaharaka yakija makampuni mapya anakimbilia tu bila kutafakari anaacha sehemu aliyekuwepo miaka miwili anaenda kwenye kampuni ambayo haijui ina background gani anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa,Kuna kampuni ilikuja miaka ya 2008 inaitwa Hits Tanzania kampuni ya simu ilikuwa na prefix 0741xxxxxx ilinyang'anya wafanyakazi wengi kutoka kampuni za simu watu walikimbilia kisa walikuwa wanaenda kulipwa $3000 wakaacha kazi za huku walipokuwa wanalipwa 1.3m baada ya miezi mi3 wakakumbana na mtikisiko wa uchumi kampuni ikafa wakaanza kuemea mashine ahmad wengine wakapata zari wakaenda Equatorial Guine ndio ikawa manusura otherwise ilikuwa aibu maana walikuwa wamekaa miezi mi3 bila mshaara ikabidi wengine wakaanza kuuza magari yao haya makampuni mapya yanayokuja ni majanga sio mazuri kukimbilia...RIP sasatel
 
Back
Top Bottom