Oloronyo
Member
- Mar 29, 2009
- 80
- 9
Eroo Lalashe,Ile kampuni ya simu ya Dovotel aka (The New Player) itazinduliwa tarehe 15/06/2009 imethibitika,kwa kuanza huduma zao zitapatikana katika jiji la Dar es salaam kisha huduma zao zitaenezwa nchi nzima,kwa sasa Jiji la Dar es salaam limesheheni na mabango yanayotambulisha ujio huu mpya,tetesi hizi zinajuza kuwa kampuni hii imekomba waajiriwa TBL,Barclays,Zantel,Zain na ile kampuni ambayo mustakabali wake haujajulikana Hits,huduma zao ni pamoja na Internet,CDMA na Landline.