Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,816
- 32,715
Ebwana wana JF mzuka!
Kila mara huwa najiuliza hivi kwa nini vitu vingi vinavyoanza na herufi K ni vitamu sana mfano kalmati, kachumbari, keki, kitumbua kuku.
Naaaaaammmm na hii ndio tamu kuliko vyote acheni mungu aitwe mungu. Ebu yaangalie yalivyokodoa mimacho huku mapigo ya moyo yakienda kasi ya ajab huku yakiendelea kusoma kwa shauku kujua ni nini. Si maanishi iyo makitu bhana. Namaanisha KULALA!!!
Dah Poleni sana wadau!
Usiku mwema