Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,374
sisi tusio na hizo gmail account inakuaje? Au ndio inatubidi kuitafuta hiyo bure ...ndio tujiunge!! Lol.
Twakushukuru kwa hii taarifa.
Aika mbe, ila siku hizi kupiga simu ni cheaper kuliko kutuma SMS
Msijaribu inakula sh 60 kwa unamtumia sms
Mfanyekazi mnawaza ku'chat wabongo, hakika haya maendeleo ya teknolojia yatazidi kutudidimiza waafrika.
Asante mkuu ngoja nijaribu
<br />Jamani kwani mtu akikijulisha namna ya kutuma sms ndio kusema hufanyi kazi?kwanza tangu lini mtu akafanya kazi usiku na mchana? si vyema tukawa wapinzani wa kila kitu mwishoni tutaonekana wajinga, nilichosema ni jinsi ya kutuma sms kwa gmail bure, sijasema tuache kazi tuanze kutumiana sms......haya Mpwa labda degedege limekushika. Thanks
<br />
<br />
by the way hajalazimishwa ye afanye kaz mafisad wanufaike si tuendelee kuchat, ila naomba kuuliza apo mkubwa na unaemtumia si mpaka na ye awe na account gmail au? Naomba maekekezo tafadhali.