Sasa viroba hakuna mitaani lakini gongo haijadhibitiwa

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
2,956
1,114
Naipongeza serikali kwa kupiga marufuku viroba. Afya ya vijana hapa mtaani imeanza kuimarika lakini bado kuna wauza gongo hasa usiku bado wanatamba. Ile amri ya kuwakamata madiwani na wenyeviti wa mitaa sasa ipewe nguvu ili wahakikishe hii gongo nayo inatoweka katika maeneo yao.
 
Viroba vimepigw marufuku kwasabab ya mazingra

images.jpeg
 
Viroba itakuwa kama bangi, hawawezi kuvizuia kabisa.

Back
Top Bottom