Hahahah hahaha hahaha hahaha,Arusha ni nchi na kwa sasa b52 ndo balozi wa JF
Mweeeee!Hiyo ni Arusha, Mwenyekiti wa mtaa ni PJ
Huamini eeehHahahah hahaha hahaha hahaha,
Itakua ni nchi ya kusadikika lol!
Huko nako twaingia na passpoti au pasiwedi hahaha!
Hivi SL yuko wapi?
Hivi SL yuko wapi?
Itabidi itangazwe hali ya hatari ikibidi nitamuomba Bagah abandike tangazo la kupotelewa na mt hapa JF
Ole wako nikukamate.SL kapotea na Nitonye....
Sijui wameenda Karagwe kulipa mahari
Ole wako nikukamate.
@ Smilling Saint, nipo mwaya nitarudi rasmi kesho na tarumbeta kaa mkao wa kunipokea.
@ Preta uache kutoa siri za nyumbani jf.
@ wengine wote nawapenda sana.
Ole wako nikukamate.
@ Smilling Saint, nipo mwaya nitarudi rasmi kesho na tarumbeta kaa mkao wa kunipokea.
@ Preta uache kutoa siri za nyumbani jf.
@ wengine wote nawapenda sana.
haya nashukuru nilipata salamu zako.... uonekane usije ukasahauliwa ndugu yangu!!