mmakondehuru
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 385
- 149
Eti kamefikia wapi hako kabei ketu?Mkuu kuna kale kabei elekez kauwongo ka kilo ya sukar 1800/=
Ni miezi michache tuu bodaboda kajiingiza babaran bila tahadhari pale mataa ya TAZARA, huku gari zikiwa zimeruhusiwa... Alipondwa na wala hakutambulika. Sekunde chache baboda wakafunga Babara. Ss kwa issue km hii tosha kujua akili za bodaboda.1. Bodaboda wafunga barabara Mbeya.
2.Jaji agoma kujitoa - kesi ya CUF.
3.Max anyimwa dhamana.
4.Lema anyimwa dhamana.
5.Ben Saanane haonekani.
6.Maiti zakutwa ndani ya mifuko.
7.Rais afumua sisiemu.
8.Bei ya sembe yapaa.
Mungu ibariki Tanzania manake tunakoelekea tunaambiwa ni kuzuri zaidi.
Haya eleza Magufuli kafanyaje had I awe tatizo???. Labda naweza kukuelewaTatizo ni Magufuli
Ni lipi hilo mkuu litajeBado tunasubiri tukio moja tu zuri litakalo trigger utamu
Afadhali, iweje mahindi tuuze kwa debe 5000. Acha tu ipae.11. bei ya sembe yapaaa
Jack hiyo picha kwenye Avatar yako Ni wewe???Tatizo ni Magufuli
Ushakula michembe umeshiba kinachobaki ni kuropoka eti halali? Halali ipi?Simtetei magufuli wala hanijui na sitegemei anijue yeye kama binadamu anamadhaifu yake ila kama rais hapana tusimuonee anafanya mazuri mengi anachemka machache ngoja nchi ikae vizuri kuna watu watu waliifanya tz Mali yao binafsi kwasasa wote sawa anayekula anakula kihalali kwa jasho lake yapo ya kumlaumu kakini mengine hapana kabisa tunamuonea
Inanikumbusha mwaka jana ilipopanda bei ya mchele. Serikali ikawa lawamani. Ilipoagiza mchele toka nje kufidia upungufu, ikawa lawamani tena michele ya wazawa inaozea maghalani!! Kuwaelewa watanzania ni ngumu. Ni vyema kutosikiliza kelele, kwani kadri unavyoelekea sehemu sahihi huwa zinazidi ili ugeuke na kuwa jiwe ( hadithi ya Baba wa Taifa. JK Nyerere).11. bei ya sembe yapaaa