Sasa tufanye hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa tufanye hili

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TandaleOne, Sep 20, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Tufikiri upya na kwa makini zaidi.

  Nadhani ni wakati mwafaka sasa tukae na kujiuliza kama mtu/chama kinaweza kuwa madarakani kwa miaka mingi na mtu ukasema hakijafanya chochote.Kujifunza nini hasa maana ya takwimu na kuna maana gani mtu anaposema uchumi umekua lakini hali ya maisha ikaonekana bado ngumu.Kujifunza tofauti ya kuongezeka kwa pato la taifa na maendeleo.

  Ni wakati mwafaka sasa kufahamu kwamba kazi ya chama cha siasa si tu kuponda bali hata kusifia yale yaliyofanyika.Kama raisi wa nchi anasimama na kusema yeye ndo aliamu kuanzisha chuo kikuu kama sehemu ya ilani ya chama halafu mtu mwingine akaja akasema rais anaongopa inabidi huyu mtu atuambie rais anaongopa kivipi na kwa nini kama alijua ukweli siku zote hakuusema mpaka wakati huu.Kwani harakati zina likizo???(napata mashaka).!

  Kama unaweza kukaa ndani ya nyumba kwa miaka lukuki huku ukiona ni nyumba mbovu yatupasa utushawishi uliwezaje kufanya hivyo.(mashaka makubwa)

  Ni wakati wa kufikiri na kuamua.:violin:
   
 2. m

  mozze Senior Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku zote huwezi kutoa SOLUTION bila kwa kuainisha TATIZO. Wapinzani wamesifia mazuri yaliyofanywa na ndio mana kila MTU amekuwa akimsifia na kusifia serekali iliyokuwa chini ya Mwl. NYERERE.
  Yanayosemwa sasa ni ubovu wa Serekali hasa hii ya AWAMU YA NNE. Wewe fikiria, very simple: Mwaka 2005 Sukari ilikuwa Sh.600, leo Sukari ni Sh. 2000. Mshahara wa kima cha chini umeongezeka kutoka Sh.60,000 Kufikia around Tzs.135,000. Kama unajua Hesabu embu piga Ongezeko la Kipato na Lile la gharama za maisha!
  Sasa hapo wewe unataka mtu asifie NINI?????
  Kwenye UPUUZI ni Lazima tuseme! Wewe ukipewe T-shirt ya CCM leo utasifia kuwa umepewa MAISHA BORA?

  Hakuna MUDA WA KUFIKIRIA! HUU NI WAKATI WA KUFANYA MAAMUZI!
  Tumeshafikiria kwa miaka Mingi sana!
   
 3. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Lakini serikali hii ina ubovu peke yake??????:confused2:
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,876
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Ummetoa jibu mwafaka kwa muda mwafaka kabisa.
  Ujumbe mwingine umo kwenye video hii

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kwinini:posts zako zinaelezea mengi kuhusu uwezo wako wa kufikri na matumizi ya social media.:confused2:
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,876
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Poor thinking capacity:confused2:
   
 8. m

  mozze Senior Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yatakuwepo Mazuri. Lakini jambo kuu hapa ni maisha ya Watanzania 45m. Serekali inaonekana imefanya mazuri kwa wachache kama marafiki na wanafamilia wa viongozi wa juu wa CCM. Uongozi wa nchi umeshindwa kuleta maendeleo kwa wanachi wa kawaida. Ukiangalia Miaka 50 baada ya uhuru bado sisi ni masikini wa kutupwa wakati nchi imekuwa na utulivu ndio mana wanatokea wapinzani na kusema kuwa CCM imeshindwa nchi na iwaachie wengine.
  Ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania haitaweza kuona maendeleo yanayotakiwa kuondoa umasikini bila ya kuwa na mfumo mpya wa uendeshaji. Tunahitaji safu mpya za viongozi wenye chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kuwaweka pembeni wale walio viongozi wa Kisiasa zaidi kama hawa CCM. Kama wanasema wamejenga shule za kata, kwa nini watoto wao hawasomi huko? kwa nini viongozi wanaenda nje ya nchi kwa matibabu?
  Au labda wewe unajua mafanikio gani ambayo wapinzani inabidi wayasifu?
  Usijiangalie wewe mwenyewe, waangalie watanzania wengine huko vijijini, bila shaka unao ndugu zako walio vijijini!
  Ukijiangalia mwenyewe basi utaona CCM imekufanyia makubwa, hasa kama upo kwenye system.
  Mimi sina shida kabisa, hata CCM wakiwa madarakani maisha yangu yako sawa na yataendelea kuwa mazuri...ila kwa manufaa ya nchi, CCM wameshindwa kazi!
  Angalia nchi nyingi zimefanya mabadiliko, Australia, Sweden, Japan, UK ... hawa bado ni nchi zilizoendelea ila watu wamegundua hakuna mabadiliko bila ya kuweka sura na mawazo mapya!
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,876
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Usilolijua ni sawa na usiku wa giza wewe unadhani kuwa mtumwa na kukesha JF kuwatumikia makafiri ndiyo una akili nzuri, na thread zako zote zitakuwa zinajaa ujumbe huu pekee.

  Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  And let's face the facts brother,serikali inaleta maendeleo au inatengeneza miundombinu kuyaendea maendeleo?:confused2:
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,876
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Utahangaika sana mwaka huu.Na yule aliyeanguka bafuni?:confused2:
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,876
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Nani anayehangaika mimi au wewe kazi yangu ni ku-copy N' paste nimeseti automatic special kwa post zako tu chukua nyingine hiyo...

  Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Serkali mostly ni kuweka mazingira mazuri ya nchi kuendelea.
  Serikali ambayo inaimport cement toka nje alafu viwanda vya ndani vinaanza ata kupunguza production capacity (TWIGA&TANGA CEMENT )na retrenchment za apa na pale ilo nalo la kusifia kweli?
  Umemkaribisha mwekezaji alafu unaanza kumletea cheap & poor cement from China,Pakistan at a low import duty.
  Huo ni mfano mmojawapo wa serikali ambayo haiko serious
   
 15. m

  mozze Senior Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serekali inaleta maendeleo.
  Miundombinu ni jukumu moja wapo, lakini tunahitaji Sheria zinazowezesha wanachi kufanya shughuli za uzalishaji kwa uhuru, tunahitaji huduma za jamii kama afya, elimu, ulinzi na mambo kama hayo (Ndio mana tunalipa kodi). Tunahitaji Katiba inayomlinda mwananchi na sio RAIS tu, Tunahitaji serekali yenye upeo na yenye kuweza kutoa mikakati na Policies za maendeleo.
  Kama Serakali kwa mfano inashindwa kusimamia mfumuko wa Bei, au inashindwa kulinda thamani ya hela (Sasa $1 = zaidi ya Tzs1,500 tutafika?)
  Serekali inayoshindwa kusimamia matumizi ya Kodi za wananchi Haifai kabisa.
  SEREKALI NDIO INAYOLETA MAENDELEO NA NDIO MANA TUNACHAGUA VIONGOZI WA SEREKALI!
  Unasema miundo mbinu, je ni nani aliyejenga shule za Kata? Si wananchi wamechangishwa?
  Wewe miaka 50 baada ya uhuru serekali ndio imejenga chuo kikuu cha kwanza! Hakuna shule mpya....tunategemea zile tulizoachiwa na wakoloni au missionaries, angalia huduma za afya...kuna miundo mbinu gani serekali imejenga?
  Barabara, usafiri wa majini, Reli (Hata ile tuliyoachiwa na wakoloni tumeshindwa kuisimamia)...vyote vinaenda Mrama kwa sababu ya kuwa na serekali Mbovu yenye kujali maslahi Binafsi! Kupena uongozi kwa kujuana na kulindana!
  HIVYO NDIO VINAFANYA TUAMINI KUWA SEREKALI HAIJAFANYA KITU, mana 50years ni mingi sana kwa hicho walichofanya...!
   
 16. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  TandaleOne haathiriki na maisha ya kati kuelekea chini ya waliowengi.
  TandaleOne yupo kwenye payroll ya waliomtuma hivyo haoni hatari kuongea chochote baada ya akaunti yake kutuna.

  I dare to say kwamba for 5yrs hatukuwa na serikali bali watawala walioungana na wahujumu kuifilisi nchi
   
 17. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  And for 5 years the so called POLITICIANS LET THAT HAPPEN????UNAFIKI HUU,MBONA POSHO ZA BUNGENI HWAKUZIGOMEA????CHAGUA CCM,HAPA USANII MWINGI.WALE WALE.:confused2:
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,876
  Likes Received: 11,989
  Trophy Points: 280
  Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

  [/QUOTE]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. m

  mozze Senior Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora hao waliochukua Posho na kwenda kuwasaidia wananchi wao! Hakukuwa na sababu ya wao kuziachia Posho ambazo zingeliwa na wachache, lakini kuna udhibitisho kuwa walitumia kipato chao kutumikia Wananchi.
  TUSUBIRI 31 October tuone!
   
 20. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hivi ni kweli waliwasaidia wananchi na hizo posho???KWa hiyo no bora kuchukua fedha hata kama si ya halali lakini ukaifanyia jambo halali?
   
Loading...