VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Tulikwazana.Tulisemana.Tuliudhiana.Tulikaripiana.Tukachukiana.Tukatukanana.Tukakosoana.Sasa kila mmoja wetu amesikia,ameona na kuelewa. Ya wanaume yatazingatiwa na ya wanawake yatafanyiwa kazi.Tulifanya hivi katika nia ya kurekebishana na kuimarishana. Tukiimarika kimahaba,tutaimarika kiakili na vivyohivyo kimaendeleo. Utlivu wa moyo ni kila kitu. Moyo ndiyo injini ya binaadamu kwa kusukuma damu,hamu,fahamu na utimamu.
Sasa wana-MMU tu pamoja.Tuko imara zaidi.
Madame B lara 1 Passion Lady,@gfsowin Zahra White na wanawake wote humu nawakubali na najifunza toka kwenu
Wanaume wenzangu wote nawakubali na kupokea mafunzo yenu pia.
JF ni yetu kwa faida zetu.Cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeers!!!

Last edited by a moderator: