masingo sharili
Member
- Mar 18, 2011
- 63
- 12
Ndugu wana jamvi, nimerudi kutoka mafichoni, nimerudi rasmi jamvini leo kufikisha kilele cha tz politics after 54 years
tumia lugha nzuri wewe imefika kilelen ndo nini
uko tayari kulinda kura kwenye mabomu au maji ya kuwasha?
"KILELENI" Anamaanisha Tanzania "inakitupa" au "inapizi" !
Sema tu haja explain "cha-ngapi" !