Sasa rasmi walimu kuajiriwa kupitia usahili

Nianze moja kwa moja,

Nlikua nafatilia Kongamano la Rasimu ya Sera Mpya ya Elimu na Mitaala ya 2023, katika mabadiliko hayo mojawapo ni namna ya kuandaa na kuajiri walimu.

Katika sera hii walimu watatakiwa kufanyiwa usahili na watakaopita ndio wataajiriwa, na walimu wote pia watatakiwa kusajiliwa.

Vile vile kunamabadiliko mazuri katika kuandaa walimu, ambapo sasa ualimu ngazi ya cheti utakoma badala yake walimu wa msingi watakuwa waliyohitimu Kidato cha Sita na watasoma Diploma ya Elimu ya Msingi kwa miaka miwili.

Kwa walimu wa sekondari watakuwa wakisoma Shahada ya Ualimu kwa miaka mitatu na mwaka mmoja wa internship jumla miaka minne.

Kiukweli haya ni mabadiliko chanya, kwani mkazo mkubwa katika kuandaa walimu sasa utajikita katika elimu kwa vitendo yaani elimu ya amali.
Ni kweli ni mabadiliko yenye maono lkn subiri kitakacho kuja kutokea,itakuwa km rasimu ya katiba ambayo ilihitimishwa kwa Mzee Warioba kupigwa.
 
Kwahiyo hapo maana yake mwalimu wa msingi ni yule aliyefeli kidato cha sita mamaee....
Hivi kwanini wanafunzi waliofeli ama walio pata ufauru wa chini ndio wanao enda kusomea fani ya ualimu?
 
Hiyo kada bongo inadharaulika sn... nikuulize ata ww mfno umemaliza six ukapata one ya 3 maybe PCB utaenda kusoma ualimu au afya???
 
Nianze moja kwa moja,

Nlikua nafatilia Kongamano la Rasimu ya Sera Mpya ya Elimu na Mitaala ya 2023, katika mabadiliko hayo mojawapo ni namna ya kuandaa na kuajiri walimu.

Katika sera hii walimu watatakiwa kufanyiwa usahili na watakaopita ndio wataajiriwa, na walimu wote pia watatakiwa kusajiliwa.

Vile vile kunamabadiliko mazuri katika kuandaa walimu, ambapo sasa ualimu ngazi ya cheti utakoma badala yake walimu wa msingi watakuwa waliyohitimu Kidato cha Sita na watasoma Diploma ya Elimu ya Msingi kwa miaka miwili.

Kwa walimu wa sekondari watakuwa wakisoma Shahada ya Ualimu kwa miaka mitatu na mwaka mmoja wa internship jumla miaka minne.

Kiukweli haya ni mabadiliko chanya, kwani mkazo mkubwa katika kuandaa walimu sasa utajikita katika elimu kwa vitendo yaani elimu ya amali.
Sijafuatilia kongamano. Je ulibahatika kujua haya mabadiliko yalianza kufanyiwa kazi, yaani wazo la mabadiliko hadi wahusika wa sekta mbalimbali kuanza kutoa mapendekezo, yakawekwa pamoja na kutoa hii rasimu, yalianza mwaka gani, na yalichukua muda gani hadi kupata rasimu hii? Ahsante!
 
Nianze moja kwa moja,

Nlikua nafatilia Kongamano la Rasimu ya Sera Mpya ya Elimu na Mitaala ya 2023, katika mabadiliko hayo mojawapo ni namna ya kuandaa na kuajiri walimu.

Katika sera hii walimu watatakiwa kufanyiwa usahili na watakaopita ndio wataajiriwa, na walimu wote pia watatakiwa kusajiliwa.

Vile vile kunamabadiliko mazuri katika kuandaa walimu, ambapo sasa ualimu ngazi ya cheti utakoma badala yake walimu wa msingi watakuwa waliyohitimu Kidato cha Sita na watasoma Diploma ya Elimu ya Msingi kwa miaka miwili.

Kwa walimu wa sekondari watakuwa wakisoma Shahada ya Ualimu kwa miaka mitatu na mwaka mmoja wa internship jumla miaka minne.

Kiukweli haya ni mabadiliko chanya, kwani mkazo mkubwa katika kuandaa walimu sasa utajikita katika elimu kwa vitendo yaani elimu ya amali.
Wale walimu wa cheti Kama nawaona vile walivyopaniki wakiwaza mziki wa six ni nomaa., Lakini wasikate tamaa ni kujipanga tu
 
Ambao wanaajiriwa kwa usaili wana mishahara mikubwa?
Mshahara ukiwa mnono ndiyo kivutio kuliko kukuta tayari umeshapangiwa mshahara wa kuanzia ni mdogo, tunauuita mshahara wa bachela
 
Back
Top Bottom