Sasa Rasmi Escrow yataka kuchakachuliwa

Too late kuvua nguo ya ndani wakati tayari umeshajisaidia suluhisho hapo ni kuvua na kufua.

mbavu zangu jamaniiiii ........... escrow tutasikia na kusoma maneno mengi ya ajabu ajabu
 
Jana viongozi wa CCM waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.

Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.

More to come...

Hawana akili hao. Wanachowaza ni aibu ya kuumbuka bungeni na sio jinsi ya kuwashawishi wafadhili waachie mafungu. Wakijisafisha bungeni wafadhili watawaambia nini bila hata mtu mmoja kuwajibika?
 
... Wameshachemka, Dili Lao La Kutumia Mahakama Ndo Iliokua Suluhisho
 
Jana viongozi wa CCM waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni.

Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula.

More to come...

Huna lolote muongo mkubwa unajifanya unajua kumbe huna lalaote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…