Sasa nishagundua kwanini Magufuli ndo Rais baada ya 25, Oktoba

typing error but ujumbe umewafikia

Ndugu hujaandika kwa bahati mbaya , kimtokacho mtu ndicho kilicho ujaza moyo wake. unamkumbuka yule MC kwenye mkutano wa Ritz alisema mwenyewe maendeleo yana patikana chadema akajaribu kujitetea ila ujumbe ulifika. nawe ujumbe umefika " CCM watashindwa kwa kwakishindo"
 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................
Jifunze kuandika kisomi.Tumia kila jamvi unalolipata kujaribu kuchambua jambo kama mtu anayejielewa,hiyo itakujengea kujiamini na kushiriki kwenye mijadala mikubwa.Majamvi haya si fursa ya kuandika ujinga!!!Ni fursa ambayo mwenyezi Mungu kukupa kutumia uelewa wako kuandika ili watu wakusome hata kama tunatumia IDs feki.
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................

Umekunywa viroba kabla ya kuandika sio??

Kwanza sio Makufuri, bali ni Magufuli.

Pili mm ni CCM dam na nna kadi ya chama,(tofauti na ww shabiki mfata upepo)
Ukweli ni kwamba CCM tumekata pumzi, na dalili zote zinaonesha tutashindwa vibaya uchaguzi huu ujao. Kwa ww ambae ni shabiki ndo utabaki unapayuka na kusema tutashinda.

Tatu wapiga kura wa mwaka huu wengi hawana vyama(idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha sio wanachama wa chama chochote, bali ni wapiga kura ) hawa ni wengi zaidi ya mtaji unaousema ww wa wapiga kura nusu wa kila Mkoa.

Ifike mahali tuongee ukweli2 tuache Ushabiki. Mwaka huu tuhesabu tumepoteza, japo tunatumia nguvu kuuuubwa lkn watanzania wanaonekana wameamka.
 
Kuandika kwenyewe haujui we mbarika ndio maana utafiti wa taasisi yenu ilisema ccm inapendwa na watu wasio na Elimu :angry:
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................

Kwanza hujui kuandika, soma upya uone ujinga wako!
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi unaweza kujifunza kitu pale, kila Mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa CCM na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kura kwa mantiki hiyo naamini CCM itashindwa kwa kishindo, moja ya mtaji wa CCM katika chaguzi zote ni wanachama wa wao, hivyo CCM haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi.

Kwanini UKAWA watashindwa.

1.Hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi.

2.Wanachama wa CHADEMA walio wengi si wapiga kura
itaendeleea..[/
Hakika ww ni maiti inyotembea kanunue jeneza ndo kitu kinakufaa.
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi unaweza kujifunza kitu pale, kila Mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa CCM na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kura kwa mantiki hiyo naamini CCM itashindwa kwa kishindo, moja ya mtaji wa CCM katika chaguzi zote ni wanachama wa wao, hivyo CCM haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi.

Kwanini UKAWA watashindwa.

1.Hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi.

2.Wanachama wa CHADEMA walio wengi si wapiga kura
itaendeleea..

We naliwe acha kukojoa hapo,unajua hapo hamuna msala ujue!
 
Hadii sasa ivi kwa tasmini ya haraka ccm ina kula 13m

Hivi hujawahi kusoma hata darasa la kwanza nn?..kwanza maandiko yako ni makosa matupu,,ila kwenye paragraph ya kati umenifurahisha maana umekiri mwenyewe kuwa"ccm itashindwa"ingawa hukuwa na lengo hilo!..ni kura,,,sio kula!!!tathimini yako ni ya kitoto mno ccm ina wanachama mln 8ingawa hata hivyo idadi hiyo imeongezwa sana!lowassa ameondoka 30%-40%na waliobaki sanasana hawazidi mln4.. Unajua asilimia ya vijana waliojiandikisha wenye umri wa miaka 18-35 ni karibu 60%na unajua hao ndo mwiba hatari wa ccm?kifupi tu ccm ishashidwa kabla ya jumapili,,wajitayarishe tu kukabidhi nchi kwa lowassa ingawa inauma!
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi unaweza kujifunza kitu pale, kila Mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa CCM na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kura kwa mantiki hiyo naamini CCM itashinda kwa kishindo, moja ya mtaji wa CCM katika chaguzi zote ni wanachama wa wao, hivyo CCM haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi.

Kwanini UKAWA watashindwa.

1.Hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi.

2.Wanachama wa CHADEMA walio wengi si wapiga kura
itaendeleea..

nakumbuka niliyasema haya yanatimia sasa naitaji pongezi zenu
 
Kwa mbali nakumbuka zile nyakati JF haikuwa na watu kama wewe

Walikuwepo wenye hoja na ambao waliandika kwa kutumia sarufi sahihi

Hivi sasa vitoto vyote vilivyokuwa FB na instagram ni kama vimehamia FJ

Badala ya nahitaji, wanaandika naitaji, badala ya kura wanaandika kura

Halafu walivyo wabishi! JF imekuwa kokoro haswaaa, imezoa hadi naliwe.

Hii yote ni kwa sababu tu wapo walioamua kuishusha hadhi jukwaa letu hili.

Adios Amigo, adios my friend, the world we've travelled, has come to an end.
 
Ndio unavyojidanganya na utafiti wako wa chooni?!subria Oct 25...!lowasa ndio rais.
Haya ilishafika tar 25/10 rais wako ni Dr Magufuli. Fisadi lako lowasa na Mbowe wapo lupango. Wafuasi wengine wa ukawa wamechapwa mabomu ya machozi. Kuanzia sasa rais mteule Dr. Magufuli kapiga marufuku maandamano
 
kwisha kazi
 
Umekunywa viroba kabla ya kuandika sio??

Kwanza sio Makufuri, bali ni Magufuli.

Pili mm ni CCM dam na nna kadi ya chama,(tofauti na ww shabiki mfata upepo)
Ukweli ni kwamba CCM tumekata pumzi, na dalili zote zinaonesha tutashindwa vibaya uchaguzi huu ujao. Kwa ww ambae ni shabiki ndo utabaki unapayuka na kusema tutashinda.

Tatu wapiga kura wa mwaka huu wengi hawana vyama(idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha sio wanachama wa chama chochote, bali ni wapiga kura ) hawa ni wengi zaidi ya mtaji unaousema ww wa wapiga kura nusu wa kila Mkoa.

Ifike mahali tuongee ukweli2 tuache Ushabiki. Mwaka huu tuhesabu tumepoteza, japo tunatumia nguvu kuuuubwa lkn watanzania wanaonekana wameamka.

wapi pwaguziiiiii
 
Back
Top Bottom