Sasa nishagundua kwanini Magufuli ndo Rais baada ya 25, Oktoba

naliwe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
647
800
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi unaweza kujifunza kitu pale, kila Mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa CCM na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kura kwa mantiki hiyo naamini CCM itashinda kwa kishindo, moja ya mtaji wa CCM katika chaguzi zote ni wanachama wa wao, hivyo CCM haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi.

Kwanini UKAWA watashindwa.

1.Hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi.

2.Wanachama wa CHADEMA walio wengi si wapiga kura
itaendeleea..
 
Ndio unavyojidanganya na utafiti wako wa chooni?!subria Oct 25...!lowasa ndio rais.
 
izo kula zako mbili wewe na mke wako ako azituogopeshi subili ujionee,tunamtaji watu
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................
hujakosea
 
Hadii sasa ivi kwa tasmini ya haraka ccm ina kula 13m
 
Unategemea wanachama!
hahahaha kweli elimu ni muhmu

KIBAKI Alipoishnda KANU alikuwa na mtaji wa wanachama wangapi NARC?

Mungu ndo ataamua acha kujitaabisha kura anazo mpaka za wanachama wa CCM ndo maana mpeparaganyika
 
Hapo kwenye red ndiyo ukweli wenyewe ambao moyo wako na akili yako inajuwa na kuamini. huko kwingine uliandika tu ili ulipwe buku 7 yako
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................

Unaandika ukiwa ICU??????
 
haya ahsante kwa kukubali mapema kabisa!
 
Hahahaha.
Umesema mwenyewe kuwa ccm watashindwa kwa kishindo.
Huo ndio ukweli,zingine ni pressure za ''fear of uknown''
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................
 
Ukiangalia idadi ya wapiga kura zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi unawezakujifunza kitu pale,kila mkoa nusu ya waliojindikisha ni wanachama wa ccm,na idadi iliyobaki ni za wapinzani pamoja na wasiopiga kula kwa matiki hiyo naamini ccm itashindwa kwa kishindo.moja ya mtaji wa ccm katika chaguzi zote ni wanachama wa wao,ivyo ccm haiiogopi mafuriko,wanao msingi wa kutosha kabisa wa kukipa ushindi,
ccm wameshajua pale wanaushindi kihasi gani hahahahaha vivia cccccm viva makufuli

kwanini ukawa watashindwa
1.hawana mtaji wa wanachama wao wanategemea kudra za wananchi
2.wanachama wa chadema waliowengi si waapiga kura
itaendeleea.....................

Wale wote mliowasomba kutoka vijiji mbali mbali na kuwapeleka kujaza uwanja Mza,baada ya kazi kuisha mkawatelekeza bila msaada wowote wameapa ya kwamba mtakiona cha moto tar 25,endeleeni kujitekenya na magunzi ya mahindi sasa kama hamjatoka upele
 
Naona hata we we mwenyewe kwenye post yako umekubali ccm itashidwa kwa kishindo.people poweeeeeeeej
 
Back
Top Bottom