Sasa nimemwelewa Mh Lowassa!!

Sasa nimemwelewa Mh Lowassa!!

Matatizo hayajaanzia kwa lowassa!matatizo ya meanzia kwa Rais mstaafu Mwinyi na wamaleshia na iptl mengine nikumtafuta mchawi lowasa amechafuka kwakuwa yeye alikuwa waziri mkuu!ila michongo ilianzia channel zajuu !
 
We unacheza na Mmeru Mmasai, achana na EL jamaa ni noma, bado kidogo tu watu watampenda sana
 
Jamani tuenzi maneno ya mwalimu juu ya Lowasa tusije pata laana ya baba wa taifa uko aliko.
Nasikia alimwambia kijana utajiri wote huu umeutoa wapi?
Mwalimu sio mungu,Lowassa ni chapakazi hilo kila mtu anafahamu.
 
Lws kweli ni mchafu kiasi hicho ?na je, wana monduli wanamu ID vp?anaejua za monduli anipe kidogo.
 
Back
Top Bottom