Gentleman,Siku ile aliyotoa hotuba Dr. Nchimbi kwamba Watanzania wapiganie Katiba mpya, sikumwelewa vizuri, lakini kwa sasa nadhani nimemwelewa kwa kwa asilimia kubwa.
Mambo makuu matatu aliyoyasema ambayo yamenifanya nimwelewe ni kama vile:-
1. Mmemwalika mtu anayefanana fanana na kazi yenu(kutetea haki za binadamu)
2. Mwenye mamlaka ya mwisho kuleta katiba ni Rais pekee yake.
3. Mnataka niwasmbie nini ili mnielewe?
Kutokana na kauli hizo, mimi nadhani alimaanisha kwamba:-
1. Bila kujitoa sadaka kupambania Katiba mpya, hakuna Rais atakayekuja kutoa Katiba mpya kwa hiari. Ndo maana alisema, Katiba hii inampa Rais madaraka makubwa mno.
2. Watanzania wote kwa Umoja wao, kwenye suala linalohusu Katiba wajitahidi kuweka mbali tofauti zao za kiitikadi na waungane pamoja kupigania Katiba mpya. Hapo alisema, tupate Katiba ambayo itamlinda mtu yeyote na wa itikadi yoyote ile, yaani awe CHADEMA, CCM, CUF, Mkristo, Mwislam, Mpagani nk.
Kwa hiyo, mimi nadhani imebaki kazi kwetu kuungana pamoja watu wa vyama vyote, Taasisi zote, makabila yote, kanda zote, rika zote, jinsi zote kupambana kufa au kupona kuwakumbusha watawala kuhusu upatikanaji wa Katiba mpya.
Mungu atuamshe, atuondolee ujinga na woga na atupe ujasiri usio kifani kupigania Katiba mpya.
We kweli kiazi. Huna hojaGentleman,
hakuna jambo au kitu kipya alichoibua au kukisema makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi, unless ulizira au hukua na muda wa kuisoma ilani ya uchaguzi ya CCM inayotuelekeza hivi sasa na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan.
Rais na Makamu wake walizunguka nchi nzima kuinadi ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo imesheheni vipaumbele muhimu sana sana ambavyo ni mahitaji ya msingi ya waTanzania. Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni pamoja na katiba mpya.
So,
makamu wa Rais Dr.Emmanuel John Nchimbi anapozungumzia suala la katiba mpya, maana yake anaizungumzia ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030.
Nadhani jambo jipya linaweza kua ni namna waTanzania wote walivyoonyesha mapenzi yao ya dhati kwa kiongozi huyo shupavu na madhubuti, mzoefu anaekubalika na kuaminika zaidi ndani na nje ya CCM, na ambae inaaminika kua ndio turufu pekee ya kuwaunganisha waTanzania katika nafasi ya urais, mara baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili mwaka 2030.π
Mungu Ibariki Tanzania
Kipya kipo ambacho ni "Pambaneni, Kikaoni"Gentleman,

Gentleman,Kipya kipo ambacho ni "Pambaneni, Kikaoni"
ok.πWe kweli kiazi. Huna hoja