Sasa nimejua: CHADEMA ndilo Tumaini la Kweli

Sasa nimejua: CHADEMA ndilo Tumaini la Kweli

kamwe CCM haitaweza kuibomoa CHADEMA ila CHADEMA itajibomoa yenyewe
 
Binafsi kitakachoniokoa sio CCM wala CHADEMA, bali kiongozi mwenye kujua nini maana ya kua kiongozi wa nchi.
 
mshindi siku zote ni yule anaejua anapambana na nani, tumeshajua kua tuna wasaliti sasa tunadeal nao tukimaliza hili tunafikiria kuchukua nchi 2015!! CCM mjipange upya
 
Ni kweli kabisa CHADEMA ndio tumaini la ukombozi Wa watanzania. Watakombolewa wote hata wasaliti Na wote wanaopinga ukombozi. Baada ya hapo ndipo wataona tofauti.
 
Back
Top Bottom