MPANDA Jr
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,295
- 159
WaTz wenzangu, nimetafakari na kupata majibu haya:
1. Tumekuwa wepesi sana kukihukumu chama cha CHADEMA kwa maelekezo ya CCM, tena kwa mambo ya kutunga tu!
2. Tumekuwa wepesi sana kuvunjwa moyo juu ya safari yetu ya mabadiliko inayoongozwa na CHADEMA kwa kutishiwa na CCM, ambao ndio sababu ya matatizo mengi yasiyotatulika ktk nch yetu
3. Tumekuwa wepesi kulishwa maneno ya uongo na CCM dhidi ya CHADEMA halafu cha ajabu kuna baadhi yetu wanayasadiki na kuyashikia BANGO.
Ni vema tukajua kwamba, katka vita hii ndani ya taifa letu dhidi ya UFISADI, RUSHWA (Kikwete amekiri kwamba CCM imejaa rushwa), DHULUMA, UBABE, UPORAJI WA RASILIMALI, UJANGILI nk. maadui zetu hawawezi kukaa kimya! Ni lazma nao watatafuta mbinu za kutushambulia. Lakin TOFAUTI YETU ni kwamba wao (CCM) wanatumia mbinu za uongo, sisi (CHADEMA) tunasema kweli Daima.
Pia tujue hata katika kazi ya MUNGU wasaliti hawakosekani. Sisi ni nani tusisalitiwe? Kama YESU KRISTO alisalitiwa na Mwanakamati wake (YUDA) sembuse CHADEMA?
TUTASHINDA