The master
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 289
- 196
unamiaka mingapi? unamtoto? una nyumba au umepamga au unakaaa kwa wazizi? unafanya kazi gani?Wana jf amani iwe kwenu nyote. Habari zenu wapendwa? kwa sasa nimeamua kutafuta jiko la ukweli.
Mimi ni muislam naishi shinyanga kikazi ila ni mzaliwa wa Lushoto Tanga. Ambaye yuko tayari na ana nia ya dhati ya kupata mume anitafute kupitia email yangu ya sembeawadhi@gmail.com.
Sifa
1. Awe muislam au awe tayari kuingia uislam.
2. Awe tayari kuolewa kwa mahari isiyozidi 500,000.
3. Awe msomi mwenye digree.(Mimi elimu yangu form 4)
4. Awe na kazi ya kuajiriwa au ya kujiajiri binafsi.
5. Awe tayari kuishi maisha ya ndoa yenye heshima, upendo wa kweli na uaminifu.
6. Awe mcha Mungu.
Mke mwema atoka kwa Mungu na halikadhalika mme mwema hivyo hivyo.
MUNGU AWABARIKI WOTE. Siku njema.
unamiaka mingapi? unamtoto? una nyumba au umepamga au unakaaa kwa wazizi? unafanya kazi gani?
wazee wako wite wako hai? una ndugu wangapi? je uko tayari kuhamia Zanzibar?
Kigezo no2 kimenishinda......
kumbe na ww n mviziaji? Kubali kuwa spear tyre
Anzisha ya kwako sio kudandia kwa mwenziodah. na mimi nahitaji mke. ila awe muislam. elimu kuanzia form 4. awe mweupe kajazika. anayejitambua.
Kwako atleast ianzie ngapi?Kigezo no2 kimenishinda......
Anzisha ya kwako sio kudandia kwa mwenzio
Huna uwezo huo, wenye uwezo hawana maneno ni vitendo tuunahisi ntakupola warembo?????
Huna uwezo huo, wenye uwezo hawana maneno ni vitendo tu
Awe muislam na mcha mungu kitu kilekile tu...
Mi niko tyr ila uislam ntaingia kama uko vizuri kipesa,elimu,nyumba atlist ghorofa 1,gari ya kutembelea yenye adabu nk kizuri...