Sasa nimeamini Magufuli hazoeleki, na hana rafiki kwenye uongozi

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Hapo zamani kidogo kwenye utawala uliopita kulikuwa na watu wana uhakika sana na nafasi zao serikali. Hata wangefanya makosa makubwa kiasi gani ilikuwa ni vigumu sana kuwatumbua au kuwashtaki kwa makosa yao. Sasa naona utaratibu na utamaduni ule umeanza kupotea na kuisha.
Zamani ukiwa mwana Mtandao ulikuwa nguvu sana hata mbele ya vyombo vya dola. Kuna watu walishindikana kabisaaaaa serikalini na kwenye biashara kuguswa.
Nakumbuka siku moja kwenye sakata moja hivi Pinda alisema kuna watu wakiguswa nchi itatetereka kwa jinsi walivyoweka mizizi ndani na nje ya serikali.
Toka Magufuli aanze kutumbua na kuzipa uwezo taasisi za umma kufanya kazi bila woga sasa naona kazi zinaanza kufanyika.

Magufuli hana simile bwana kwenye mambo ya ovyo. Alianzia kwa akina Nape Nauye ambao walikuwa ma don kwenye chama serikali, lakini hakuangalia sura akawatoa kwenye serikali yake.
Mwigulu Nchemba, Simba Chawene nao walionja hasira ya Magufuli kabla ya kuwarudisha tena.
Muhongo, Charles Kitwanga, Tizeba na wengine wengi sana.
Sasa Arusha imeona tumbuzi kubwa kuliko yote kwa viongozi watatu wa ngazi ya juu kuondolewa wote.
Wanaojifanya kuwa hawagusiki wapate somo sasa.
Aliye simama aangalie asije anguka siku moja.
 
Mbona Paul Makonda hamgusi ingawa amefanya madudu ya kutosha tu! Ikiwemo kufoji cheti na lile sakata lake la makontena!!
 
Madikteta huangalia nafsi zao tu na hufanya chochote hata kama ni kuua mtu fulani ilimradi wapate sifa. Sioni cha kusifia na watu wengi wamepotoka sana.
 
Kwa kweli ukishindwa kwenda na kasi ya Magufuli akubakizi.Ghambo huyuhuyu Ghambo wa gwambina kipigwa chini!!!?.
 
Back
Top Bottom