sasa nimeamin kuwa wanajf tunapendana!

mkuu naona huwa wanajibu MINAL FAIDHINA sijui kama niko sahihi afu pia cjui maana yake. naomba kuambiwa maana yake. mzee Mtambuzi naomba ufafanuzi juu ya hili!

MINAL FAAIZIINA/من فاإزين wenye kufaulu. Ila salamu ya EID iliyo sahihi ni hii "TAQABALA ALLAH MINNAA WA MINKUM/تقبل الله منا و منكم
MWENYEZI MUNGU ATUKUBALIE SISI NA NYINYI(FUNGA YETU HII)" Halafu unaitikia "AAMIN" ngoja niishie hapa kabla Roulette hajanisukumia jukwaa la dini! LOL!
 
Last edited by a moderator:
Chit chat bila CL haiwezekani so nilijua una issues flani japokua kuna watu walimwaga chozi walivosikia umeondoka bt i knew u wud b back and welcome bak :happy:
 
Back
Top Bottom