sasa nimeamin kuwa wanajf tunapendana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sasa nimeamin kuwa wanajf tunapendana!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Aug 18, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  habari zenu kwa mpigo! kwanza naombeni radhi. niliaga kuwa sitaonekana kwa kukwazika na kutajwa tajwa kitu ambacho si kweli. ukweli ni kwamba wiki nzima tulikuwa na auditors ofisi na tulikuwa vimeo vya kutosha. so niliona nipumzike kwa muda ili nipate nafas ya ku-clear vimeo.kimsing najua wakati ndio sasa alikuwa ana-joke ila nikataka kuona ni jins gan wana-jamvi wananipenda. nawashukuru sana kwa upendo wenu mlouonesha nimeamin tupo pamoja ila kuna walionibeza kuwa nafanya utoto nimewasamehe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Eid mubarak!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hebu nikumbushe, mimi nilicomment chochote kwenye thread yako?
  By z way karibu tena! Idd Mubarak
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  samahani wapendwa simu yangu haiwezi kupost maneno meng. naelewa nini maana ya chit chat so sijakwazika kwa kutajwa wala nini, me nipo simple sana na wala siogopi kutajwa popope iwe katka jf ama real life kwan kutajwa hakunipunguzii hata chembe ya uhai wala kuniongezea. nimegundua wanaonipenda na wasionipenda ktk jf. ila napenda kusema kuwa ili ufanikiwe ktk jambo lolote unahitaji marafiki na maadui au positive na negative. nina imani mmenielewa. naomba lawyer wangu ruttashobolwa anisaidie. . EID NJEMA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  mkuu naona huwa wanajibu MINAL FAIDHINA sijui kama niko sahihi afu pia cjui maana yake. naomba kuambiwa maana yake. mzee Mtambuzi naomba ufafanuzi juu ya hili!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  mkuu sina kumbukumbu kama uli-comment vibaya bt asilimia kubwa walionesha upendo wao kwangu na walisikitishwa na kuondoka kwangu. bt wachache walionibeza ndo nawakumbuka ila nimewasamehe. . .
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  nachukua fursa hii kukuomba radhi rafk yangu,shost angu na kipenz changu beibe nasty, pole sana mpenzi kiukweli uliumia sana toka moyoni. . nisamehe nimerudi mamie. shem wangu Judgement natumai utanisaidia kuomba msamaha nawe pia naomba unisamehe kwa kukuumizia kipenzi chako!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Don worry ma client they will understand!
  Your now under protection do not sign any contract without ma permission!
  Those who will not forgive you have right to Appeal!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Karibu ma dia. Happy to see you again. Realy tulisikitishwa.
   
 10. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mamito unakumbuka maneno yako? ngoja nikukumbushe

  nasikitika kuwataarifu kuwa kuanzia jumapili ya tarehe 12 sitakuwepo tena jf, najipiga ban ya hiyari kwani nimechoka kufuatiliwa. nahisi kuboreka na wanaonibore na wanajijua/wanajifahamu. yan wakipost topic ama kukoment hawachoki kunitaja taja. jaman siwataki hv mkoje! bakini na jf yenu mfurahie bila kuniona ili roho zenu zifurahi. . . . kwaheri ya kutoonana!


  mimi binafsi hata kama umefanya nipate majina mazuri ya pachaz nimekwazika,

  ilibidi ufungue basi thread ya kuomba msamaha. mie nakupenda na ni mmoja wa watu nilikuwa

  nakukubali sana na kuku mention mara kwa mara, iliniuma sana siku hio hadi pressure kupanda.
   
 11. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  heeeee switilo bora ulivyorudi maana hadi raha ya JF ilianza kupungua!!!!!! welcom back!!!!! and eid mubarak
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Afadhali umerudi yamwishe machozi bwana wako.
  (Source: mbaraka mwinshehe mwaluka RIP).
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wwaoohh !
  Charmy!
  On behalf of my wife NastyBeibe i'm accept the apology !
  Thanks you for your responses respectively!
  I really appreciated !
  Like everthin in life, that's hard to achieve.
  You must believe due these declaration will be much better on her (Beibe Nasty)
  Unfortunately we are missin a couple of dayz , worth of your atractive posts.
  I thought it was over!
  But here you come back again !
  I hope you missin us too much while we've been away! But we're back and ready to move foward now!.
  I'm sure we can all be happy , it wasn't much more! As it was the first time round .
  Cheers !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  da afadhali umerudi sweet cousin tulikua tumekumiss kinoma jamani tunakupenda sana enjoy idd mbarak
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wwaoohh !
  Charmy!
  On behalf of my wife NastyBeibe i'm accept the apology !
  Thanks you for your responses respectively!
  I really appreciated !
  Like everthin in life, that's hard to achieve.
  You must believe due these declaration will be much better on her (Beibe Nasty)
  Unfortunately we are missin a couple of dayz , worth of your atractive posts precisely!!
  I thought it was over!!
  But here you come back again !
  I hope you missin us too much while we've been away! But we're back and ready to move foward now tugeza (together!).
  I'm sure we can all be happy , it wasn't much more! As it was the first time round .
  Cheers !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. M

  Mwlmgomaji Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hizi mbwembwe za humu nimezi kubali Erotica, usiondoke JF inakutegemea utupe thread tamu tamu. Na wazeya wengne 2komae. CHAMA CHA JAMVINI kipo juu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  karibu sana,swali la kizushi! Je unajisikiaje ulipokuta wakati ndio sasa yupo kwenye kifungo cha ban,ambaye wengi tunaamini kuwa yeye ndio alisababisha wewe kuondoka jf?ingawaje umekiri kuwa ile ilikuwa si sababu mi naomba kujua hisia yako ya kumkuta wakati ndio sasa kapigwa ban
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. cheupe sr

  cheupe sr Senior Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Karibu mamito..
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Ruhazwe JR ndo kwanza unanitoa tongotongo kwa wakati ndio sasa kapigwa ban kwa sababu ipi? BTW nimesikitika kwan ntamiss usumbufu wake. nliamua kumsumbua ili jamvi linoge na wala sikuwa nachukia make km ningekuwa nachukizwa c ningekubali yakaisha make najua shda yake ilikuwa flirting ya hapa chitchat! i will miss him so much. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...