Siku zote tumevumilia hizi kauli zenu za kejeli lakini sasa hatuwasikiliza tena
Labda muuvunje kabla ya 2015 vinginevyo lazima rais atoke zanzibar.
nakuhakikishia si lazima atoke zenji-naamini TIME WILL TELL-Labda muuvunje kabla ya 2015 vinginevyo lazima rais atoke zanzibar.
Haiwezekani kwani 99% ya wazenji ni ustaadhi al-jihad, hatutaki hawa watu kuongoza nchi yetu TENA wawe wametoka visiwani au bara.
Tunataka uwezo siyo zamu. Salim si ni ninyi ndiyo mlimkataa. Kwani yeye siyo Mzanzibari??
hamna mtu mwenye quality za urais kwa sasa.Salim Ahmed alifaa sana ila kwa chuki na fitina za wazenji mkamkataa sasa sikilizieni sana tu
Msipokubali tutauvunja muungano
Baada ya wananchi wa upande wa bara kutoa rais wa Jamhuri ya Nuungano mara 2 mfululizo ni vema sasa wanzetu wa Bara mkatuachia ndugu zenu wa Visiwani urais hapo mwaka 2015. Hii itasaidia kuenzi muungano wetu ulionzishwa na wale viongozi wetu mahiri mzee Karume na Mwalimu Nyerere.
msipokubali tutauvunja muungano
hata kama wapo-hatuwatakiUongo wenu tu hata Agustino Ramazan hawezi? Je yule waziri wa sayansi? Wapo waznz wengi tu wanaoweza kuwa rais bora wa tz