Sasa ni wazi Yanga anabeba ndoo ya 'CAF Confederation Losers Cup'

Usm Algiers haina ubavu wa kuifunga Yanga na kwa maana hiyo Yanga atabeba ndoo ya CAF Confederation of Losers.

Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Simba SC, Kanjibai mwaka huu atatimua hadi mesenja.
Umejuaje kuwa usm algers hana ubavu wa kumfunga yanga?
 
1684386243762.png
 
Back
Top Bottom