Kinachofanyika sasa naamini wengi walishasema ndiyo kitafanyika na sasa ndiyo kinafanyika
Kila mmoja atajifanya anafanya kazi kufukuza watu kazi kusimamisha na kuigiza wapo upande wa wale walioumizwa wakati wao ndiyo waliwaumiza πββοΈπββοΈ