Sasa ni rasmi Mchungaji Msigwa aizika CCM Iringa Mjini

Sasa ni rasmi Mchungaji Msigwa aizika CCM Iringa Mjini

Watu wa Iringa hawakuokotwa jalalani na si wa mchezo mchezo hawawezi kuwa kwenye hilo kundi la wahuni na wauaji.

Msigwa kweli sio was mchezo mchezo. Hapa alikuwa anataka kumlamba makofi DC wa Iringa bwana Kasesera.
Hii ndio namna nzuri ya kudili na hawa ma DC na RC wanaowaonea wabunge wa upinzani. Chapa makofi hadharani kisha hawezi tena kukufuata fuata maana usha muaibisha hadharani.
Ushujaa wa Msigwa na ufananisha na wa Marehemu mzee Mwamwindi aliye mchapa shaba RC wa Iringa Dr Kleruu early 70's.
 
Wanyalu sio wa sport sport, kupinga uovu awakuanza Leo hata mjerumani anawafahamu shughuli yao.
 
Wanyalu sio wa sport sport, kupinga uovu awakuanza Leo hata mjerumani anawafahamu shughuli yao.
 
Back
Top Bottom