bullet proof
Member
- Sep 19, 2012
- 57
- 35
Katika hali inayoonesha dhahiri kuwa sasa CCM kinatapatapa kujinusuru kung'oka madarakani, kimeamua kutumia udini kama njama ya kukimaliza CHADEMA!! Gazeti la HOJA lina makala inayosomeka hivi: Zitto na Saidi Arfi kufukuzwa Chadema; mkakati wa kuwaondoa WAISLAM wapangwa!!!
Mimi nadhani sana watanzania tuseme basi kwa chama hiki cha mapinduzi. Njua wanatafuta ushindi lakini sio kila mbinu inafaa. Kutumia Udini na au ukabila ni udhaifu mkubwa na hatari sana kwa maendeleo ya watanzania. Nashauri wajikite kwenye kutatua matatizo ya watanzania hasa hasa umasikini kwa kutumia hoja imara na siyo hizi za uchonganishi.
Watazania pia tuwe makini sera kama hizi hazitusaidii!!!