Sasa najiunga na ACT Tanzania

Your thread is acting as an "anxiety-provoking" stimulus to Ufipa..kuwa tayari kwa matusi ya kuitwa mhaini na msaliti
 
Viongozi wenzangu habarini za asubuhi. Kwanza nawapongeza kwa jitihada za kuleta demokrasia nchini

Mungu awabariki kwa hili. Ombi langu tu huu ni wakati wa kukijenga chama mojawapo ni kupata wanachama as machi az april
Maombo yangu muwezeshe wanachama wenye kuhitaji kujiunga waweze jiunga kupitia online. Hii itatoa wepesi zaidi

Nawatakia kila la kherii
 
Propaganda uchwara za CCM!
 
Vyeti vya Chadema? ulitunukiwa lini? ACT nahofia kama itasurvive muda mrefu maana hata wafuasi wake hawaelewi wanachokifanya, wewe utakuwa umeishia la saba, maana hata neno kadi limekushinda
 
Ni njaa tu zinakusumbua!
 
Vua gamba na gwanda vaa uzalendo act oyeeee tuko pamoja
 
Hii inaitwa vita ya kunguru nafuu kwa panzi (sijui kama nimepatia huo msemo), lakini naamaanisha katika huu mtifuano sasa hivi haya majoka yenye makengeza yamepata ahueni.

Tulishakuwa tumeyashika pabaya, lakini kutokana na tamaa, masilahi binafsi, sifa, kutokuwa na ukweli, fitina, majungu, ujinga wa viongozi wetu (wote chadema na ACT), sasa hivi tunahishia kuvuana nguo wenyewe tu, tunaonekana kama watoto wadogo, wajinga tu. At the end of the day, ACT will end up with nothing, the same way like CHADEMA.

Wameshatugawa, sasa hivi MAJOKA YENYE MAKENGEZA yanaanza kushangilia ushindi wao. Poor ZZK, poor Mbowe, Poor Slaa
 


Makala iliyoandikwa na Samson Mwigamba tarehe 09/12/2009 ya kumwonya Kabwe nimeisoma vizuri mara mbili, imechambua bayana tabia ya Zito. Zito ni mzigo asanteni sana ACT kwa kubeba hii lumbesa ya mchanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…