Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,543
- 23,844
Nyumbani kwao Tena si wataowana kama maabata,kazini napo pia hakuna kitu, mtaani anatakan kuoanmbaliSedahi ndugu,kila la kheri kwenye utafutaji wa mke.
Wait minute,mtaani kwenu au home kwenu au kazini kwenu hakuna wanawake,mpaka uanze kutafuta anonymous people's in there.
Anyway kila la kheri mkuu
Mkuu,umesoma ulichokiandika???Nyumbani kwao Tena si wataowana kama maabata,kazini napo pia hakuna kitu, mtaani anatakan kuoanmbali
Hiyo no. 4 labda kama huna wivuSifa zangu:
Sifa za mwanamke ninayemuhitaji
- Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai
- Degree ya Kwanzaa
- Muajiriwa sekta binafsi
- Mweusi, mrefu na mwili wa wasting
- Mkristo
- Sijawahi kuoa na Sina watoto
- Napenda jogging na kusali
Kama Kuna swali uliza.
- Mkristo kabila lolote
- Mweusi na mwenye urefu wa wasting
- Aliye tayari kwa majukumu ya ndoa kama mke
- Asiwe na zaidi ya mtoto mmoja
- Awe tayari kuishi na mume wake siku zone. Maana yangu, nikihamishwa kikazi na yeye awe tayari kuhama na mimi.
Karibu PM
Nimestaajab! Unatangaza ndoa hadi na single mother!Sifa zangu:
Sifa za mwanamke ninayemuhitaji
- Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai
- Degree ya Kwanzaa
- Muajiriwa sekta binafsi
- Mweusi, mrefu na mwili wa wasting
- Mkristo
- Sijawahi kuoa na Sina watoto
- Napenda jogging na kusali
Kama Kuna swali uliza.
- Mkristo kabila lolote
- Mweusi na mwenye urefu wa wasting
- Aliye tayari kwa majukumu ya ndoa kama mke
- Asiwe na zaidi ya mtoto mmoja
- Awe tayari kuishi na mume wake siku zone. Maana yangu, nikihamishwa kikazi na yeye awe tayari kuhama na mimi.
Karibu PM
Wewe una mwili wa kupotezaSifa zangu:
…..
- Mweusi, mrefu na mwili wa wasting
Urefu wa kishitobe uwe wa kupotezaSifa za mwanamke ninayemuhitaji
…..
- Mweusi na mwenye urefu wa wasting
Wazazi hawana kazi chafu wanakutafutia kienyeji moja safi sana!Iyo kaz mpe baba na mama yako wataifanya kaz vzr sana na utaipenda kaz yao, hawa wanawake wa kutafta kwa mtandao kwa jamii yetu na mazingira yetu bado sana,
Umewaza kama mimi 👊Iyo kaz mpe baba na mama yako wataifanya kaz vzr sana na utaipenda kaz yao, hawa wanawake wa kutafta kwa mtandao kwa jamii yetu na mazingira yetu bado sana,
Kuna shida?Nimestaajab! Unatangaza ndoa hadi na single mother!
Ubarikiwe sana na single mama.
Sure?Humu jf ukipata sana utaambulia masingo maza, wachunaji/wadangaji, na mishangazi
Mkuu sikuhizi kila mwanamke ni mdanganyi japo sio wote ila wengi wao ni omba omba sana,apate mshangazi wakeHumu jf ukipata sana utaambulia masingo maza, wachunaji/wadangaji, na mishangazi