Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Mi naona kama kuwaita CUF CCM B sio sahihi kwangu, CUF ni CCM uchwara...
View attachment 22409View attachment 22411
Peoples Power, wanasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu na Nguvu ya waengi pia ni nguvu ya Mungu. Tunaamini nguvu ya CHADEMA ni nguvu ya Mungu. Makamanda msife moyo
Hii wengine tuliisha iona tokea zamani! Kilichobakia ni CUF kubadili bendera yao kuweka jembe na nyundo! CUF ni historia
Wishingful thinking, keep on dreaming
Ndugu zangu mimi nimehudhuria kikao cha leo cha Bunge. Nilichokiona na kushuhudia ni maafa kwa democrasia ya nchi hii. CUF, NCCR, UDP, CCM na TLP wanapoungana dhidi ya Chadema ujue Chadema is becoming a threat to their personal gains and their political survial . Chadema are truly fighting for the welfare of the public but the rest of the parties are there to safeguard their national interest. However, I prety sure Chadema will emerge victors.
When you start losing the fear of death life begins
Hivi huwa wanasemaje tena? Adui wa adui yako ni rafiki yako? Au rafiki wa adui yako in adui yako? Hii misemo huwa haina maana inakuja kwa wanasiasa wa Tanzania? Au haina maana kiujumla.Another wishifull thinking!
Eti chadema pekee ndio wapinzani...wa kweli
Endeleeni kujifaraji maana ndio mwisho wa uwezo wenu wa kufikiri..
CUF, NCCR, TLP ni wanasiasa hawawezi kunyamazishwa na chadema lazima watafute uhalali wa kuheshimiwa..