Sasa kwenda chuo kikuu ni bahati!

Sasa kwenda chuo kikuu ni bahati!

Naomba nikurekebishe katika mambo mawili,
1.Sio kweli mwaka huu ndio mbinde kuingia chuo kulinganisha na miaka yote,early 80's and 90's vyuo vikuu vilikua vitatu tu yaani UDSM(+MUhimbili as college),SUA na Mzumbe(For In services).Hivyo ilikua wanaoingia ni wenye ufaulu mkubwa sana.

2.Hao unaodai watashindwa kwenda KCMC na kampala hawawezi kuingia MUHAS sabab ufinyu wa nafasi 180 na sio 150...hahaha...acha kuwa tia moyo maana hata muhas ingehitaji wanafunzi 500 always ina maintain standards zake ivo hao size ya KCMC na Kampala wasingeingia MUHAS.Niwe mkweli 99% ya wanaenda ivyo vyuo hua hawana sifa za kusoma MUHAS au UDSM.

Mwisho,niliwahi kuwashauri hawa wadogo zetu wakiwa wanafunzi wasome kwa bidii hasa PCB lakini walikua wanaona tunawatania.Sasa wanahaha wapi wakasome.Kwa aliyefaulu vizuri muda huu anachekelea tu na anafahamu kabisa wapi ataenda kufanyia degree yake.

Walio Advance,hali hii ikawe fundisho kwenu katika kuconcentrate kwny masomo na kuachana na mambo yasio ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufaulu vizuri unamaanisha nini mkuu unataka kuanambia wote wanao pata 1 za PCB wanapaswa kwenda MUHAS tuu??? Na unataka kunambia division 2 PCB sio ufaulu mzuri?? Chukua TANZANIA kuna One ngapi za PCB na MUHAS wanahitajika wangapi na wengine wataenda wapi hiyo ni simple hesabu na ni mfano!

Miaka ya 80 na 90 wangapi walikuwa wanaliza shule na wangapi wanafaulu kwenda chuo je ni sawa na sahizii? Hivi vyuo kufingiwa ni PIGO kubwa sana tukubari tukataee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wanashindwa kuelewa kwamba wanafunzi saivi ni wengi na wanaufaulu mzuri..tukisema wote waende muhas itawezekana kweli..hivo vyuo vya afya vilivyofungiwa ni pigo kubwa kwa hawa madogo..imagine medical labaratory ipo muhas tu saivi na inachukua watu 80..wengine wakasome wapi kozi za afya??

Medical Lab ya Bugando imepatwa na nini?
 
Hellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia

Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi

Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza

Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii

Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done

Sent using Jamii Forums mobile app
Oyaa zimefungwa baadhi ya program tuu....na sio vyuo ..hapi ka unapotosha watu mkuu

Hivi ulitaka vyuo vilivyo chini ya kiwango viendelee kufanya udahili halafu elimu yetu izidi kuporomoka?

TCU waendelee kufungia hivi vyuo uchwara, sio lazima uende chuo kikuu wakati kuna vyuo vingine vinatoa diploma, certificate ikiwa haujafikia kiwango cha ufaulu wa kukuwezesha kwenda chuo kikuu.

Tufike mahali tuzingatie viwango katika elimu yetu sio kujaza wanafunzi vyuoni hata wasio kidhi viwango. Wanafunzi wengi wasiokidhi viwango ndo hukimbilia kwenye hivo vyuo vya hovo vilivyofutwa.
 
We kweli Kilaza, hivi ulitaka vyuo vilivyo chini ya kiwango viendelee kufanya udahiri halafue elimu yetu izidi kuporomoka?

TCU waendelee kufungia hivi vyuo uchwara, sio lazima uende chuo kikuu wakati kuna vyuo vingine vinatoa diploma, certificate ikiwa haujafikia kiwango cha ufaulu wa kukuwezesha kwenda chuo kikuu.

Tufike mahali tuzingatie viwango katika elimu yetu sio kujaza wanafunzi vyuoni hata wasio kidhi viwango. Wanafunzi wengi wasiokidhi viwango ndo hukimbilia kwenye hivo vyuo vya hovo vilivyofutwa.
Hahahha..kwel kabsaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi!?? Tafuta nyuzi zilizopita humu utaona walichokizungumza tcu.!!! Zimefungiwa baadhi ya kozi tu na hata pale udsm MEDICAL DOCTOR pia imestopishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya vyuo vimezuiliwa completely kudahili this year.Yani kozi zote za hicho chuo

Halafu kuna vyuo ambavyo only some of the courses zimezuiwa
 
Back
Top Bottom