Sasa kwenda chuo kikuu ni bahati!

Sasa kwenda chuo kikuu ni bahati!

Hellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia

Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi

Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza

Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii

Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done

Sent using Jamii Forums mobile app
Usirudie kosa 2020

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapuuuuzi kabisaaaa,yaani jambo LA msingi kwa kila binadamu kuwa na uelewa wao wanageuza ni ufahari,pusii kabisa,kwani kila anayesoma lazima aajiriwe,jaribuni kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nikurekebishe katika mambo mawili,
1.Sio kweli mwaka huu ndio mbinde kuingia chuo kulinganisha na miaka yote,early 80's and 90's vyuo vikuu vilikua vitatu tu yaani UDSM(+MUhimbili as college),SUA na Mzumbe(For In services).Hivyo ilikua wanaoingia ni wenye ufaulu mkubwa sana.

2.Hao unaodai watashindwa kwenda KCMC na kampala hawawezi kuingia MUHAS sabab ufinyu wa nafasi 180 na sio 150...hahaha...acha kuwa tia moyo maana hata muhas ingehitaji wanafunzi 500 always ina maintain standards zake ivo hao size ya KCMC na Kampala wasingeingia MUHAS.Niwe mkweli 99% ya wanaenda ivyo vyuo hua hawana sifa za kusoma MUHAS au UDSM.

Mwisho,niliwahi kuwashauri hawa wadogo zetu wakiwa wanafunzi wasome kwa bidii hasa PCB lakini walikua wanaona tunawatania.Sasa wanahaha wapi wakasome.Kwa aliyefaulu vizuri muda huu anachekelea tu na anafahamu kabisa wapi ataenda kufanyia degree yake.

Walio Advance,hali hii ikawe fundisho kwenu katika kuconcentrate kwny masomo na kuachana na mambo yasio ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sion hata ulichosahihisha ,ungelala tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hellow.....Ni ukweli ulio wazi kuwa hata kama umefauli vizurii lkini bado Kwenda Chuo ni Mbindeeee tena Mbindee sabaaa Kuliko miaka Yoyote ulio wahi kuisikia

Vyuo 19 vimefungiwa vyuo ambavyo wengi wao walikuwa ndio kimbilio na watu wanapata Ajira Sasa TCU kuvifunguia Ni pigo kubwaaa kwa wanao taka kuiunga na chuo kimojawapo Mfano KCMC na KAMPALA! Sasa kuvifungua means umezuia Zaidi ya wanafunzi elfu 2000 kujiunga hapoo Je wataenda wapi akati vyuo kama MUHAS kwa kila kozi hawazidishi wanafunzi 150 je wataenda wapi

Ada ya kufanya maombi sahizi imekuwa kubwa kwa watoto wa maskini kuwa na laki 2 ili ufanye maombi ni ngumu! Jamani mambi yamekuwa magumu magumu kupitiliza

Kabla hujaomba chuo pamoja na One yako Fanyeni Maombi kabla ya kufanya Maombii

Niwatakieni mafanikio katika kufanya application zenu! Bila maombi kwa MUNGU nothing can Be Done

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuzungumza Siwezi Acha tubaki na tulichopata Mungu atatusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Study in china 2017/2018.BEST AND AFFORDABLE UNIVERSITIES.ADMISSIONS ARE OPEN FOR SEPTEMBER I2017 INTAKE .ENGINEERING,MEDICINE,BUSINESS contact us for more info‭‭+255 766 369 464‬‬
degree zinatambulika Tanzania baada ya kuhitimu huko China?
 
mi naona ndo vijana watapata akili ya maisha mana hata ukisoma ni bure tu utarud kitaa na kuanza kuangaika tu sis uku tupo chuo lkn tunaona bora tusingesoma tu saiv tungekua na pesa kitaa af EDUCATION mshahara lak 7 wakikata madem inakuja laki nne na nusu wakat ata muuza chips anakuzid vizuri tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nikurekebishe katika mambo mawili,
1.Sio kweli mwaka huu ndio mbinde kuingia chuo kulinganisha na miaka yote,early 80's and 90's vyuo vikuu vilikua vitatu tu yaani UDSM(+MUhimbili as college),SUA na Mzumbe(For In services).Hivyo ilikua wanaoingia ni wenye ufaulu mkubwa sana.

2.Hao unaodai watashindwa kwenda KCMC na kampala hawawezi kuingia MUHAS sabab ufinyu wa nafasi 180 na sio 150...hahaha...acha kuwa tia moyo maana hata muhas ingehitaji wanafunzi 500 always ina maintain standards zake ivo hao size ya KCMC na Kampala wasingeingia MUHAS.Niwe mkweli 99% ya wanaenda ivyo vyuo hua hawana sifa za kusoma MUHAS au UDSM.

Mwisho,niliwahi kuwashauri hawa wadogo zetu wakiwa wanafunzi wasome kwa bidii hasa PCB lakini walikua wanaona tunawatania.Sasa wanahaha wapi wakasome.Kwa aliyefaulu vizuri muda huu anachekelea tu na anafahamu kabisa wapi ataenda kufanyia degree yake.

Walio Advance,hali hii ikawe fundisho kwenu katika kuconcentrate kwny masomo na kuachana na mambo yasio ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli
 
Hapo kwenye maandishi niliyokuza "Laisi" ndio nini au nani? Kiswahili hicho ulisomea katika hivyo vyuo vilivyofungiwa?
namaanisha Laisi si vinginevyo usinitie hatiani mkuu... ugali na maharage nimeshakula sana bwenini sitaki yajirudie
 
Back
Top Bottom