Sasa kuna kila dalili za Trump kuwa impeached na Congress ili avuliwe maradaka ya uraisi, lakini Senate inaweza isimtie hatiani na kumvua uraisi

Well, mimi sio Mwakymbe tuseme kama nitasema ukamatwe kwakua unaongea hisia zako na ya moyoni mwako!

I recognize your freedom of expression enshrined in the Constitution! Enjoy!!
You recognize freedom of your own ignorance, ndio maana unakosoa bila ufahamu
 
Nakwambia hivi Dems wanajua wakiforce kumtoa Trump watajiharibia kwenye uchaguzi ujao na hata wao huo mpango hawana, wao wanachotaka ni Tax returns za Trump.
Hilo ni tatizo lako wewe. Mimi natoa maoni kutokana na uelewa wangu. Maoni yangu yako based kwenye kujua mambo mawili tu - Congress iko chini ya Democrats na Senate chini ya Republicans. Impeachment inaanzia Congress, na kupelekwa Senate. The rest ni simple analysis. Mie sio mtu wa kukariri CNN sijui kama wewe ndio ni-post.

Watu wenye ujuzi mdogo wa haya mambo ndio wenye midomo mikubwa kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakwambia hivi Dems wanajua wakiforce kumtoa Trump watajiharibia kwenye uchaguzi ujao na hata wao huo mpango hawana, wao wanachotaka ni Tax returns za Trump.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani mie nimesemaje kwenye thread, au uli-comment bila kusoma? Sijasema nani atafaidika kati yao na Republicans na kwamba Dems wanaweza wakaona ni afadhali kumwacha Trump ili waje wamshinde kwenye uchaguzi ujao? Ukaniambia nakariri CNN bila kusoma thread
 
Democrats wa naona kabisa hawapati kitu ile ripoti ya Mueller kwa sababu hadi sasa hakuna uthibitisho wa Donald trump kushirikiana na Russia kushinda uchaguzi wa 2016, ile kitu ilikuwa ni hoax na plan B iliyoandaliwa na Democrats pale waliposhangazwa mama Hillary kacharazwa viboko na trump kwenye uchaguzi, Media kama CNN na mnsbc kazi yao ni kumchafua trump na kufanya watazamaji wadhani kwamba trump itakua impeached kitu ambacho ni ndoto.....Cheki fox news ndo ujue Trump alivo raisi bora anaewanyima usingizi Democrats.....cheki state of union uone kale kabibi Nancy pelosi kanavyotaka kupasuka......Wanamzuia trump ajenge ukuta wakati wao wapo kwenye nyumba zilizo na kuta, walinzi na mageti shenzitype kabisa....Trump make america great again
 
Naona wengi mnaitazama Marekani kwa macho ya Kitanzania...poleni sana. Someni historia ya Marekani, mnayo mengi ya kujifunza.
 
Huna uelewa wowote ule...unapaste vitu usivoelewa.

Hakuna chama chenye majority ya kumuimpeach jamaa.

Sasa unavosema Dems wako wengi unaonekana punguani
watu wengine wanaropokwa tu, hata democrats hawana majority ya kumuimpeech trump, impeaching him requires at least 2/3 ha hio demo hawana, ushahidi wa huyu cohen hata haumbumbambaisi trump,
 
Why ? Michael Cohen is a convicted lier and a felony .Unafungwa ukidanganya Congress na Democratic Party wamemleta muongo kuwafanganya tena .No Russia collusion sasa wanatafuta vingine.
thank you for telling it as it is
 
Baada ya ushahidi wa Cohen, aliyekuwa mwanasheria binafsi wa Trump, sasa ni wazi kwamba Congress ya Marekani ambayo ina Democrats wengi zaidi itachukua uamuzi wa kum-impeach raisi Trump ili aondolewe kutoka madaraka ya Uraisi wa Marekani. Ni wazi Democrats wanasubiri ripoti ya Mueller anaechunguza kama Trump alishirikiana na Urusi ili kufanikisha kuchaguliwa kwake kuwa raisi. Kuna kila dalili kwamba ripoti ya Mueller itazidi kupigilia misumari kwenye jeneza la Trump, hivyo Democrats wanaisubiri ili kulipa suala la impeachment uzito unaostahili, zaidi ya ushahidi wa Cohen dhidi ya Trump.

Hadi sasa ushahidi wa Cohen kwa kamati ya Congress umeonyesha kwamba Trump amekuwa akidanganya na ana makosa ya jinai kutia ndani yanayohusu kodi na matumizi ya fedha kinyume cha sheria kipindi cha kampeni. Na pia kumekuwa na tuhuma za kutisha watu au taasisi mbalimbali ili wasitoe taarifa mbaya dhidi yake.

Kimsingi, Raisi wa Marekani hawezi kushitakiwa kwa makosa ya jinai akiwa bado raisi. Linalotakiwa kufanywa ni Congress kumuondoa madarakani kwanza kwa impeachment. Congress ikisha muondoa kwa impeachment, suala lake litapelekwa Senate ambapo kamati ya Senate itakaa na kupendekeza kwamba Senate ikae kama mahakama ili kuamua juu ya tuhuma zilizosababisha awe impeached na Congress. Ikiwa Senate itamtia hatiani Trump kutokana na sababu zilizofanya Congress imu-impeach, basi huo ndio utakuwa mwisho wa urais wa Trump.

Hata hivyo, ikumbukwe kwamba Congress inatawaliwa na Democrats, kwa hiyo suala la impeachment ya Trump ni rahisi sana. Senate inatawaliwa na Republicans kwa hiyo kuidhinishwa kwa impeachment ya Congress kwa kumtia hatiani Trump itakuwa sio rahisi.

Ikumbukwe kwamba Raisi Trump akiondolewa madarakani, Makamu wa raisi Mike Pence atachukua uraisi ili kumalizia awamu iliyopo. Na baada ya hapo anaweza kugombea uraisi awamu mbili zijazo, kwa kuwa hii aliyochukua uraisi toka kwa Trump haitahesabika kama ni awamu yake.

Kwa jinsi hiyo basi, Republicans wanaweza kuamua Trump aondoke ili kujipa nafasi za kushika uraisi kwa awamu tatu, hasa wakijua kwamba sio rahisi kwa Trump kushinda uchaguzi ujao kama asipoondolewa madarakani kwa impeachment.

Kwa jinsi hiyo, watakaofaidika na impeachment ya Trump ni Republicans! Democrats wakijua hilo wanaweza wasichukue hatua kum-impeach Trump ili wajitahii kumshinda uchaguzi ujao.

Source: Mimi mwenyewe kwa uelewa wangu wa siasa za USA
Kuna asilimia kubwa Trump akashinda uchaguzi wa 2020. Impeachment nafikiri haitafanikiwa Kwa vyovyote vile. Trump bado anakubalika Kwa asilimia kubwa ya wamarekani. Kumbuka Ile kashfa kubwa iliyowahi kumkumba Rais Bill Clinton ya lewndoksi . Ilikuwa ni kubwa kuzidi Hizi za Trump.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Democrats wa naona kabisa hawapati kitu ile ripoti ya Mueller kwa sababu hadi sasa hakuna uthibitisho wa Donald trump kushirikiana na Russia kushinda uchaguzi wa 2016, ile kitu ilikuwa ni hoax na plan B iliyoandaliwa na Democrats pale waliposhangazwa mama Hillary kacharazwa viboko na trump kwenye uchaguzi, Media kama CNN na mnsbc kazi yao ni kumchafua trump na kufanya watazamaji wadhani kwamba trump itakua impeached kitu ambacho ni ndoto.....Cheki fox news ndo ujue Trump alivo raisi bora anaewanyima usingizi Democrats.....cheki state of union uone kale kabibi Nancy pelosi kanavyotaka kupasuka......Wanamzuia trump ajenge ukuta wakati wao wapo kwenye nyumba zilizo na kuta, walinzi na mageti shenzitype kabisa....Trump make america great again
Hahahaha mkuu umepata hasira kama nini yaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robert Muller atasababisha Trump ashinde 2020 sababu ripoti yake itasema Trump hakuhusika na ripoti itatoka karibia na uchaguzi
Republicans watashinda pakubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Because you need to read America constitution.Michael Cohen is a convicted felony and a lier .American media is Democratic one sided
American constitution itawasaidia nini nyie wabongo? Huo ni ulofa tu. Trump mwenyewe boya tu
 
Why ? Michael Cohen is a convicted lier and a felony .Unafungwa ukidanganya Congress na Democratic Party wamemleta muongo kuwafanganya tena .No Russia collusion sasa wanatafuta vingine.
Dems majinga sana,Cohen mwenyene ame admit kwamba "I lied to congress once,but does not mean am a Lier".Sasa mtu kama huyu ni wa kumleta congress na kumuamini anachoongea kweli?.Yaani unaweza kuongea uongo halafu hapo hapo usiwe muongo?.Kwanza kuongea uongo tu congress ni kosa,alitakiwa awe jela huyu.Ila sababu conservatives ni wavumilivu,hawezi kuwa offended kijinga kama ma liberals,wakakubali kumskiliza ujinga wake.Cohen anasema Trump ni racist,akiambiwa aongeshe ushahidi hana hata chembe,Typical liberal mind.
 
watu wengine wanaropokwa tu, hata democrats hawana majority ya kumuimpeech trump, impeaching him requires at least 2/3 ha hio demo hawana, ushahidi wa huyu cohen hata haumbumbambaisi trump,
I say wewe ndio unaropoka wa kwanza. Hebu niambie composition kwenye House of Representatives kati ya Democrats na Republicans, halafu sasa uniambie kitu kitakachofanya Democrats washindwe kum-impeach Trump kwenye Congress wakitaka. Unaropoka Democrats hawana majority, unajua mfumo wa uwakilishi wa Marekani, Congress ni nini na Senate ni nini na nani ana majority wapi kati ya Democrats na Republicans, na impeachment inafanywa na nani kati ya Congress na Senate? Tumesema wazi, Congress inaweza ku-impeach, lakini Senate itakapokaa kama mahakama inaweza kuzuia. Lakni inaweza pia kuptiisha impeachment ya Congres kwa sababu wapo Republicans wanaoona Trump hafai kuwa mgombea wao wa uraisi uchaguzi ujao.

Usiseme watu wanaropoka bila kujua wewe ndio mropokaji. Unakuwa kama yule jamaa sasa.
 
Yani wewe ni mbumbumbu sana ...hakuna chama chenye two-third required sasa unavosema dems wako wengi enough to impeach unaonekana hamnazo!

Na ni kweli wewe hamnazo kabisa....huo uchambuzi wako uchambue hapo hapo kijijini
 
Je akadi inatimia?

Back
Top Bottom