Sasa inabidi wanawake watuhonge wanaume

Mi nilijua post za hivi ni fb tu kumbe hata huku!!?
 
Khaa!! Kiongozi hapo hamna cha kulia wala nini alikuwa anataka kukuingiza kwenye 18 zake aanze kukuATM taratibuu. Mjini hapa ukiwa zoba utapigwa kifalafala. Kuwa makini siyo umalize nauli yako halafu uanze kulialia tukuchangie :yawn:
 
umeliliwa ....
umedaiwa penzi.....

inamaana hujamtosheleza mwenzako jipangeeeee
 
Dah!mwana una bahati sana.Endelea kutoa dozi omba na allowance kabisa
 































duuuh! hebu kapime minyenyere fasta!
 
wakuhonge mchovu kama wewe ili iweje? .
 
Watu wamekuwa malimbukeni wa mitandao ya kijamii...mpaka wanadhani kila walifanyalo huko mitaani kwao...basi linafaa kujadiliwa na watu wengine hata kama ni jambo la falagha......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…