Sasa imegusa Ikulu, imechafuka...

Sasa imegusa Ikulu, imechafuka...

wabunge wa ccm ni kikwazo cha kuirekebisha serikali kwa hiyo tusitegemee makubwa hapo................
 
Binafsi huwa siziamini Tume za uchunguzi zinazoundwa na wanasiasa hasa wabunge wa hili bunge letu. Matokeo ya uchunguzi wao huwa ni ya kisiasa zaidi na sidhani kama yanakuwa na nguvu za kisheria kama yakitumiwa kuwachukulia hatua wahusika waliotajwa vibaya kwenye ripoti hizi. Tumeona matokeo ya Tume ya Richmond na sasa hii ya Jairo zote zimejaa siasa tu.
 
wabunge wa ccm ni kikwazo cha kuirekebisha serikali kwa hiyo tusitegemee makubwa hapo................

Mambo ya ITIKADi hata kwenye maeneo muhimu yenye maslahi ya Taifa wao wanafanya ya KiCHAMA
 
Oyaaaaa! ya Zitto Kabwe kuhongwa ahalalishe mambo fulani mbona hatujadili??????
 
mjifunze kufupisha mada zenu. Watu hawasomi. Take it from me
 
Back
Top Bottom