SaSa hv mwendo ni kuoa mabinti wenye degree tu

Hahahaa... Usifanye masihala na mkaka wa Mujini wewee, na ma utundu yake ya kimujini mujini..! Baaasi Phd yoote inayeyuka..!

Kila mjanja ana mjanja wake lol
kila boss ana boss wake....PHD ni top lol
 
Ungejua wanavyotumika vyuoni wala usingewapenda. Kimsingi wanatoka vyuoni waki na scrap value. Pole sana
 
Wakuu ambao bado hamjajitosa kwenye pingu za maisha ningependa kuwashauri hivi: kama wewe hujasoma achana na mawazo ya kuoa demu aliesoma sababu ni rahisi sana kuboana. Si unajua mafahali wawili hawakai zizi moja wahenga walisema. Pili hawa watu wana kiburi sana yaani kila kitu mjadiliane weeeee hadi aone mantiki ndipo apitishe. Tatu, hata mkijapata watoto wakiona mama kasoma zaidi wanakuwa wanamsikiliza zaidi so inakuwa kama yeye ndo baba na wewe ni mama! Nne,
 
Ukinipatia wine ya Mon amie itakuwa bombaaaaa!!

itabidi tu nikutaftie manake mi huyu mtu huwa namtaftiaga kweli timu pinzani :fencing:kama hivi wanamserve him ryt huwa naona hewaaaaaaa!marhabaaaaaaa!ahahahahhahhaahha THE COMMUNIST himself!
Shikamoo The Boss
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!! Mi natafuta mwenye MBESA hata akiwa darasa la saba!!!!!!!! Degree ukiipeleka dukani kwani inanunua bidhaaaaaa? I didnt think soo!!!!!!!!! Mambo yote wallet iliyotuna mmiliki akiwa elimu ya UPE!!!!!!!!!!!
 
Mmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!! Mi natafuta mwenye MBESA hata akiwa darasa la saba!!!!!!!! Degree ukiipeleka dukani kwani inanunua bidhaaaaaa? I didnt think soo!!!!!!!!! Mambo yote wallet iliyotuna mmiliki akiwa elimu ya UPE!!!!!!!!!!!

Mi nina diploma na wallet. Khaaaz ni kwako
 
Mi nina diploma na wallet. Khaaaz ni kwako

Diploma yote hiyooooo! Tuongee mambo ya msingi/lenter how deep is your wallet loaded!!!!!!!!!! LOL!!! Ikizingatiwa mwaka huu ulikuwa jike kwako!!!!!!!!!
 
pamoja na madegree ma3 cha ajabu wanaishia mikononi mwa masela wa maskani ...degree bongo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom