sasa huu ndo uvaaji gani

Ingekuwa kipindi cha mr handsome a.k.a wa Msoga angelamba ukuu wa wilaya.
 
Wewe huo uvaaji achana nao......vaa vitu vingine.......
Unaweza kuniambia hiyo picha imepigwa Mongolia au yaeda juu...nataka kufuata asali hata nikiliwa na nyuki poa tu
 
Huyo mwenyewe huo mbuno ndiyo kasababisha yote hayo...
 
Wengi Wanafeli Sio Kwsbb Ya Kutokujua Ila Ni Kwsbb Ya Kukurupuka Na Kujibu Wacchoulizwa.Nadhani Mtoa Mada Alikua Anamaanisha Alievaa Viatu Vya Kijani na Suruali Ya Kaki.Coz Ht Mm Cjauelewa Huu Uvaaji.It Makes Sense 2 Stick On The Right Topic.
 
Jamani sikila mtu anavaa kupendeza mwingine anavaa kujisitiri tu,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…