AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,756
Ukishakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na mwanamke na ukampa ujauzito wewe tayari ni mwanaume hayo mengine ni mbwembwe tu na ndo yanawapa kiburi mnashindwa hata kusaidia wake zenu kazi za ndani kwa visingizio vya ajabu kama hivyo khaa hovyooZamani ilikuwa ukisikia Mwaume harakati zake zote ni za kiume...
Ukikua tu unajua mimi habari zangu nI, KILIMO, KUWINDA, KUCHUNGA MIFUNGO, KUPAMBANA...
Yaani zana ambazo ukitembea hukosi mkononi ni KISU, PANGA, SIME, MSHALE, UPINDE NA MKUKI...
YAANI MUDA WOWOTE FITA NI FITA MURA...
Zamani baba akirudi akikukuta mtoto wake wa kiume upo umekaa na mama yako jikoni...utafukuzwa kama mbwa...MWANAUME HAKAI JIKONI NA AKINA MAMA...
Sasa hivi unaona eti vitoto vya kiume vinakata miuno...kweli jamani...ama kweli wanaume tumepungua...
Uzi tayari...
Du! Kweli asee. Siku hata dingilai hayupo unapewa msosi wa peke yako, halafu unakaa kibabe unakula kibabe[emoji4]Enzi hizo mtoto wa kiume haruhusiwi kula na wanawake.
Siku hizi huko Dar wanaume na wanawake wanagombania chips.
Enzi hizo mtoto wa kiume haruhusiwi kula na wanawake.
Siku hizi huko Dar wanaume na wanawake wanagombania chips.
Zamani ilikuwa raha sana, siku hizi wanaume wanakaa is a jikoni na dada zao.Du! Kweli asee. Siku hata dingilai hayupo unapewa msosi wa peke yako, halafu unakaa kibabe unakula kibabe[emoji4]
Kinondoni hapo ndipo nasikia kuna ugomvi wa mkubwa.Wapi uko kiongozi kinondoni au
Me ni wa mkoani ila nipo dar kuna jamaa hapa vitumbua viwili amalizi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2] hahaha hahah aaaaha hahahaKinondoni hapo ndipo nasikia kuna ugomvi wa mkubwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa huyo naye mwanaume? Nakumbuka nikiwa mdogo tulio tukishindana kula. Nilikuwa napiga uji lita 3 nasimama na kwenda zangu kama kipofu aliyeponywa na Yesu.Me ni wa mkoani ila nipo dar kuna jamaa hapa vitumbua viwili amalizi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2] hahaha hahah aaaaha hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa huyo naye mwanaume? Nakumbuka nikiwa mdogo tulio tukishindana kula. Nilikuwa napiga uji lita 3 nasimama na kwenda zangu kama kipofu aliyeponywa na Yesu.
Dah, yaani kweli wanaume siku hizi hakuna.Wallahi aseee uwezi amini hii kitu ni live me nilivunga kuagiza niliagiza vitumbua vitatu baadae nikapita kuchukua mihogo hahaha hahahah ahahaha haha
Kwenu au?Enzi hizo mtoto wa kiume haruhusiwi kula na wanawake.
Siku hizi huko Dar wanaume na wanawake wanagombania chips.
Ndiyo maana nasema siku hizi hakuna wanaume. Wewe ulidhani itakuwa kwenu?Kwenu au?
Na Baba ako anaruhusu mnagombania chips?Ndiyo maana nasema siku hizi hakuna wanaume. Wewe ulidhani itakuwa kwenu?
Nenda utumie fursa ya MEMKWA ujue japo kusoma na kuelewa.Na Baba ako anaruhusu mnagombania chips?